TANESCO tuambieni nini kinaendelea huko Mbeya maana umeme kukatika imezidi sasa

Ndikwega

R I P
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,979
Reaction score
5,529
Ni takribani miezi kadhaa sasa, Mkoa wa Mbeya imekuwa kero, Umeme Unakatika Zaidi ya mara 4 kwa Siku.

Na hili tatizo lipo zaidi ya Miezi 3 hivi.

Tunaambiwa Bwawa la Mtera Maji yamejaa mpaka wanayafungulia yatoke lakini Umeme katika Siku nzima unawaka si zaidi ya Saa 6 hivi.

Tafadhalini acheni Siasa tunaomba Majibu maana hata hamtoi Taarifa yeyote.

Nawasilisaha.
 
Ahsante kwa taarifa

Tunawajulisha kuwa kuna kazi inaendelea kwenye kituo chetu hivyo mara baada ya kumaliza kazi hali ya umeme itatengemaa kama hapo awali
 
Na hapa Dar imekuaje? Maana toka jana Kimara umeme unasumbua
 
Ni takribani miezi kadhaa sasa, Mkoa wa Mbeya imekuwa kero, Umeme Unakatika Zaidi ya mara 4 kwa Siku.

Na hili tatizo lipo zaidi ya Miezi 3 hivi!
Tunaambiwa Bwawa la Mtera Maji yamejaa mpaka Wnayafungulia yatoke, lakini Umeme katika Siku Nzima unawaka si Zaidi ya Saa 6 hivi.

Tafadhalini acheni Siasa tunaomba Majibu maana hata hamtoi Taarifa yeyote.

Nawasilisaha
Ahsante kwa taarifa

Tunawajulisha kuwa kuna kazi inaendelea kwenye kituo chetu hivyo mara baada ya kumaliza kazi hali ya umeme itatengemaa kama hapo awali
Kituo chenu hicho ni ncha nchi nzima?..karibu mikoa yote hali iko hovyo..huou arusha jana ilikiwa disaster na leo mmekata asubuhi..
 
Na hapa Dar imekuaje? Maana toka jana Kimara umeme unasumbua
Hii tumeitolea taarifa leo kupitia Clouds Fm kipindi cha asubuhi, kuna kazi inaendelea kwenye ukarabati wa mitambo yetu hivyo ikikamilika huduma itatengemaa tena
 
Kituo chenu hicho ni ncha nchi nzima?..karibu mikoa yote hali iko hovyo..huou arusha jana ilikiwa disaster na leo mmekata asubuhi..
Hii tumeitolea taarifa leo kupitia Cloud Fm kipindi cha asubuhi, kuna kazi inaendelea kwenye ukarabati wa mitambo yetu hivyo ikikamilika huduma itatengemaa tena
 
Mbona hufafanui ni mitambo gani?
 
Ni takribani miezi kadhaa sasa, Mkoa wa Mbeya imekuwa kero, Umeme Unakatika Zaidi ya mara 4 kwa Siku.

Na hili tatizo lipo zaidi ya Miezi 3 hivi.

Tunaambiwa Bwawa la Mtera Maji yamejaa mpaka Wnayafungulia yatoke, lakini Umeme katika Siku Nzima unawaka si Zaidi ya Saa 6 hivi.

Tafadhalini acheni Siasa tunaomba Majibu maana hata hamtoi Taarifa yeyote.

Nawasilisaha.
mkuu sio mbeya tuu, hili tatizo sasa ni karibia mikoa yote, hawa jamaa wanarudisha sana juhudi nyuma, imefkia kipindi sasa serikali iwawajibishe kuanzia ngazi za juu mpaka chini, ilikusudi juhudi ziendelee kusonga mbele kwa mbele.
 
Hii tumeitolea taarifa leo kupitia Cloud Fm kipindi cha asubuhi, kuna kazi inaendelea kwenye ukarabati wa mitambo yetu hivyo ikikamilika huduma itatengemaa tena
Ahsante kwa ufafanuzi, ubarikiwe sana .
 
Huku chunya wameshapita nao ..yani tunanyanyaswa utadhani umeme tunapewa bure wakati tunalipia
 
Dawa yake kuwe na mashirika shindani ya kuuza Umeme.!
 
Huku mbarali mbeya Kila siku wanakata zaidi ya mara 4 na hata kamA wakirudisha haukai Sana wamepita nao tena
 
Ni takribani miezi kadhaa sasa, Mkoa wa Mbeya imekuwa kero, Umeme Unakatika Zaidi ya mara 4 kwa Siku.

Na hili tatizo lipo zaidi ya Miezi 3 hivi.

Tunaambiwa Bwawa la Mtera Maji yamejaa mpaka Wnayafungulia yatoke, lakini Umeme katika Siku Nzima unawaka si Zaidi ya Saa 6 hivi.

Tafadhalini acheni Siasa tunaomba Majibu maana hata hamtoi Taarifa yeyote.

Nawasilisaha.
Nini Mbeya hata Dar, mbezi ,mbweni siku 2 hakuna umeme sijui hata kuna matatizo gani majukwaani tunaambiwa maneno mingimingi
 
huku kwa nusu saa unakata hata mara sita 🤣 🤣 🤣 , yaani utafkiri kuna kichaa anachezea switch uko tanesko! yaani umevuta hewa hata hujatoa umekata, hujachezesha jicho usharudi, hujakaa utafakari nn kimetokea ushakata tena, unaenda kuzima kila kitu ile unamalizia tu switch ya friji usharudi, ile unasema basi yaishe ngoja nizime tu, unakata tena
 
Back
Top Bottom