Na hapa Dar imekuaje? Maana toka jana Kimara umeme unasumbuaAhsante kwa taarifa
Tunawajulisha kuwa kuna kazi inaendelea kwenye kituo chetu hivyo mara baada ya kumaliza kazi hali ya umeme itatengemaa kama hapo awali
Ni takribani miezi kadhaa sasa, Mkoa wa Mbeya imekuwa kero, Umeme Unakatika Zaidi ya mara 4 kwa Siku.
Na hili tatizo lipo zaidi ya Miezi 3 hivi!
Tunaambiwa Bwawa la Mtera Maji yamejaa mpaka Wnayafungulia yatoke, lakini Umeme katika Siku Nzima unawaka si Zaidi ya Saa 6 hivi.
Tafadhalini acheni Siasa tunaomba Majibu maana hata hamtoi Taarifa yeyote.
Nawasilisaha
Kituo chenu hicho ni ncha nchi nzima?..karibu mikoa yote hali iko hovyo..huou arusha jana ilikiwa disaster na leo mmekata asubuhi..Ahsante kwa taarifa
Tunawajulisha kuwa kuna kazi inaendelea kwenye kituo chetu hivyo mara baada ya kumaliza kazi hali ya umeme itatengemaa kama hapo awali
Hii tumeitolea taarifa leo kupitia Clouds Fm kipindi cha asubuhi, kuna kazi inaendelea kwenye ukarabati wa mitambo yetu hivyo ikikamilika huduma itatengemaa tenaNa hapa Dar imekuaje? Maana toka jana Kimara umeme unasumbua
Hii tumeitolea taarifa leo kupitia Cloud Fm kipindi cha asubuhi, kuna kazi inaendelea kwenye ukarabati wa mitambo yetu hivyo ikikamilika huduma itatengemaa tenaKituo chenu hicho ni ncha nchi nzima?..karibu mikoa yote hali iko hovyo..huou arusha jana ilikiwa disaster na leo mmekata asubuhi..
Nadhan itakuwa nchi nzima.Kituo chenu hicho ni ncha nchi nzima?..karibu mikoa yote hali iko hovyo..huou arusha jana ilikiwa disaster na leo mmekata asubuhi..
Hii tumeitolea taarifa leo kupitia Cloud Fm kipindi cha asubuhi, kuna kazi inaendelea kwenye ukarabati wa mitambo yetu hivyo ikikamilika huduma itatengemaa tenaNadhan itakuwa nchi nzima.
Mbona hufafanui ni mitambo gani?Hii tumeitolea taarifa leo kupitia Cloud Fm kipindi cha asubuhi, kuna kazi inaendelea kwenye ukarabati wa mitambo yetu hivyo ikikamilika huduma itatengemaa tena
Taarifa kamili itawajia tunaomba uvumilivu wenuMbona hufafanui ni mitambo gani?
Uvumilivu gani? Mpaka huku Igunga ni giza tu kwa siku tatu.Taarifa kamili itawajia tunaomba uvumilivu wenu
mkuu sio mbeya tuu, hili tatizo sasa ni karibia mikoa yote, hawa jamaa wanarudisha sana juhudi nyuma, imefkia kipindi sasa serikali iwawajibishe kuanzia ngazi za juu mpaka chini, ilikusudi juhudi ziendelee kusonga mbele kwa mbele.Ni takribani miezi kadhaa sasa, Mkoa wa Mbeya imekuwa kero, Umeme Unakatika Zaidi ya mara 4 kwa Siku.
Na hili tatizo lipo zaidi ya Miezi 3 hivi.
Tunaambiwa Bwawa la Mtera Maji yamejaa mpaka Wnayafungulia yatoke, lakini Umeme katika Siku Nzima unawaka si Zaidi ya Saa 6 hivi.
Tafadhalini acheni Siasa tunaomba Majibu maana hata hamtoi Taarifa yeyote.
Nawasilisaha.
Ahsante kwa ufafanuzi, ubarikiwe sana .Hii tumeitolea taarifa leo kupitia Cloud Fm kipindi cha asubuhi, kuna kazi inaendelea kwenye ukarabati wa mitambo yetu hivyo ikikamilika huduma itatengemaa tena
Nini Mbeya hata Dar, mbezi ,mbweni siku 2 hakuna umeme sijui hata kuna matatizo gani majukwaani tunaambiwa maneno mingimingiNi takribani miezi kadhaa sasa, Mkoa wa Mbeya imekuwa kero, Umeme Unakatika Zaidi ya mara 4 kwa Siku.