Sio mbeya tu na mikoa mingine kama Arusha. Sasa mbona mnafanya kibabe hata taarifa hamtoi? Tutajuaje kama mnafanya marekebisho?Ahsante kwa taarifa
Tunawajulisha kuwa kuna kazi inaendelea kwenye kituo chetu hivyo mara baada ya kumaliza kazi hali ya umeme itatengemaa kama hapo awali
Lini mnakamilisha wakuu?Hii tumeitolea taarifa leo kupitia Cloud Fm kipindi cha asubuhi, kuna kazi inaendelea kwenye ukarabati wa mitambo yetu hivyo ikikamilika huduma itatengemaa tena
Yaani mkate umeme kila siku zaidi ya miezi miwili halafu bado mseme taarifa zitatujia?Taarifa kamili itawajia tunaomba uvumilivu wenu
Hawa ni wa kulaaniwa. Baraka haziwafai hata kidogoAhsante kwa ufafanuzi, ubarikiwe sana .
Huyo mjamaa ameathirika kisaikolojia, uchaguzi umemuathiri...hata comments za mapenzi kule MMU ni lazima ahusishe uchaguzi.Wewe jamaa mbona unapenda kulaumu sana? Umeambiwa kunahitilafu na ukarabati unafanyika bado unataka kulaumu serikali.
Au wizi wa kura unahusika?
Na Mwanza je, umeme nao unasumbua sana!Ahsante kwa taarifa
Tunawajulisha kuwa kuna kazi inaendelea kwenye kituo chetu hivyo mara baada ya kumaliza kazi hali ya umeme itatengemaa kama hapo awali
Leo mmeniudhi sana na last week mmeniunguzia bulb mbili na charger ya simu. Nawadai..
Kipindi Cha uchaguzi sio kweli umeme ulikuwa haukatiki kamA kipindi hichiUmevamia mada yangu kizalendo ndio maana hujaelewa nimesema nini. Nimesema hivi, hili tatizo la kukatika kwa umeme limeanza rasmi wakati wa kampeni za uchaguzi Mkuu, kadiri siku zinavyokwenda ndio tatizo linazidi kuwa kubwa. Na kuna uzi nilichangia hapa kabla ya uchaguzi mkuu kuwa kuna tatizo la kukatika kwa umeme, Ila viongozi wako kimya ili Ile hali isiwatilie doa kwenye uchaguzi. Ndio maana umeona hiyo verified user ya TANESCO imeishia kutoa maelezo hafifu kwakuwa anajua kila kitu kinachoendelea. Ila kwakuwa ww unajifanya kuitetea serikali ndio maana umeivaa hii mada kichwa kichwa ukiwa huna jipya.
Mimi nataka kumlipua Huyu meneja wa mkoa wa Songwe maana amezidi kukata sana umemeAhsante kwa taarifa
Tunawajulisha kuwa kuna kazi inaendelea kwenye kituo chetu hivyo mara baada ya kumaliza kazi hali ya umeme itatengemaa kama hapo awali
Kipindi Cha uchaguzi sio kweli umeme ulikuwa haukatiki kamA kipindi hichi
Asante..Pole asee[emoji23]
Waambie mameneja wa sehemu husika wawe wanawatangazia wananchi,ili kuchukua tahadhari,Radio na magazeti yapo ,shida nini kutangaza ndugu zangu??!!Chukueni hatua.Ahsante kwa taarifa
Tunawajulisha kuwa kuna kazi inaendelea kwenye kituo chetu hivyo mara baada ya kumaliza kazi hali ya umeme itatengemaa kama hapo awali
...ya umeme ya Kinyerezi 2 na Ubungo 2Mbona hufafanui ni mitambo gani?
Yaani kama unajibu hoja kirahisi hivi ni bora ungekaa kimya tuHii tumeitolea taarifa leo kupitia Cloud Fm kipindi cha asubuhi, kuna kazi inaendelea kwenye ukarabati wa mitambo yetu hivyo ikikamilika huduma itatengemaa tena
Mnabishana bure,umeme haupaswi ukatike kipindi hiki chenye mvua kila mahali hata kama ni marekebisho ndo nchi nzima?Na masaa yote hayo!?Jifunze kusoma na kuelewa boss, nimesema tatizo hili la kukatika lilianza miezi zaidi ya mitano iliyopita, ila kadiri muda unavyokwenda linazidi kuongezeka. Nini huelewi hapo?
Toeni ufafanuz hapa swal unaulizwa jf majibu nisikie radion mna wote tuna muda wa kusikiliza radioHii tumeitolea taarifa leo kupitia Clouds Fm kipindi cha asubuhi, kuna kazi inaendelea kwenye ukarabati wa mitambo yetu hivyo ikikamilika huduma itatengemaa tena
tindo hebu tumegee kidogo tunaotaka kujua au fanya link ya huo uzi hapa,hao vichwa ngumu wasiokuelewa achana naoNielewe, hili tatizo lilianza kipindi cha uchaguzi, ila kwa sasa limekuwa kubwa kuliko awali. Mbona hayo maelezo yako wazi?