FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Hivi kwa hizi mvua ninazoziona, mpaka mjini zinanyesha, huko milimani ndiyo itakuwaje? Yaani hapo ni tufanye mvua ndiyo sababu ya mito kujaa maji, maana yake vyanzo main ni chemchem.
Kama ulikuwa umepanda maharage yako, tegemea kula kande.
Ila TANESCO vipi lakini? Hivi kweli 2022 mnatufanyia hivi kisa siasa? Hivi mama haelewi kwamba ndiyo kawaharibia wanawake nafasi ya kuja kuwa viongozi? Mbona badala ya suluhu ninaona tatizo juu ya tatizo?
Hivi chama chetu pendwa hakioni uendeshaji wa dizaini hii mwishowe ni ukosefu wa amani? Hivi hao kina February hawana utu kweli? Inakuwaje huna hata utu?
Kwenu chakula ilikuwa noma mpaka ukaitwa jina la mboga yetu pendwa, unakosaje utu mzee? Yaani hapo umekoswa koswa kwenye jina la pili maana yake ingekuwa Kande kabisa.
Hata comment sitaki, nishafungua roho wakuu.