TANESCO wameanza kutuandaa Kisaikolojia. Unakuja Mgao wa Umeme siku zijazo na Watu wanaanza kuingiza Nchini Majenereta

Hili Wanalotaka Haliihitaji Rocket Science Kujua Wazi Wazi Tumeshikwa Pabaya

Mzilankende Alisema
Nitahakikisha Kwenye Utawala Wangu Nita~Deal Na Wale Wanafungua Maji Kwenye Mabwawa Ili Kina Kikosekani Wao Wauze Generator
Hao Wajiandae Vema Tutawafuta Kazi Wote
 
Shinyanga huwa inaonewa sana kila mgao unapokuja Shy imo 🙁
 
Leo chadema mnaongea haya?
 
good news kwa panya road, ama kwa hakika huyu mama kajua jinsi ya kuwa stress watu, watu watakuwa vichaa for God sake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…