TANESCO wamepandisha bei ya umeme?

TANESCO wamepandisha bei ya umeme?

Hapana, mwanzo wa mwezi ninanunua shs.11,000/= ninapata unit 28.0 baada ya kukata kodi ya jengo shs.1,000/= na katikati ya mwezi ninanunua shs. 10,000/= bila kodi ya jengo ninapata unit 28.0 taslimu, je, Tanesco wamepandisha bei ya umeme?
Kodi ya jengo ni 1500/=
 
Jaribu kupiga simu kwa emergence yao wakupatie ufafanuzi
Sawa, lakini wengine watajuaje ili nao wajiandae? Hatutakiwi kuwapigia simu ni wajibu wao watueleze kama kuna mabadiliko yoyote.
 
Sijui kuna namna gani.
Mimi nimenunua wa 10k nimepata unit 23.
Kodi ya jengo ilishakatwa kwa mwezi huu oct..
 
Hapana, mwanzo wa mwezi ninanunua shs.11,000/= ninapata unit 28.0 baada ya kukata kodi ya jengo shs.1,000/= na katikati ya mwezi ninanunua shs. 10,000/= bila kodi ya jengo ninapata unit 28.0 taslimu, je, Tanesco wamepandisha bei ya umeme?
Kodi ya jengo olipandisha ni 2000 sio buku tena
 
Kuna watu wamekimbia vijijini wameenda mjini kupanga nyumba za watu
Haki ya Mungu mtawalipia malandlord hadi mtie adabu.
Kila mtu ajenge yake tuwakomoe.
 
Hapana, mwanzo wa mwezi ninanunua shs.11,000/= ninapata unit 28.0 baada ya kukata kodi ya jengo shs.1,000/= na katikati ya mwezi ninanunua shs. 10,000/= bila kodi ya jengo ninapata unit 28.0 taslimu, je, Tanesco wamepandisha bei ya umeme?
Uwe muelewa kodi ya jengo imepanda kutoka shilingi 1000 mpaka 1500 hivyo wamekata kodi ya jengo ukabakiwa na 9500 ndiyo iliyonunua umeme
 
Taarifa hii inatakiwa itoke kwako au itoke Tanesco kuwatahadharisha wateja?
 
Back
Top Bottom