figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Salaam,
Makadirio ya karibu ya bajeti 2025/2026 Nchini Tanzania Tanzania ipo hivi.
1. Wizara ya Katiba na Sheria → ~ Tsh bilioni 80
2. Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ni Tsh bilioni 120
3. Wizara ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA ni Tsh bilioni 150
4. Mambo ya Nje na Ushirikiano ni Tsh bilioni 200
5. Maliasili na Utalii ni Tsh bilioni 250
6. Ardhi, Nyumba na Makazi ni Tsh bilioni 300
Mifugo na Uvuvi ni bilioni 350
Kilimo ni Tsh bilioni 450 na
Maji ni Tsh bilioni 700
Halafu tanesco wapiga zaidi ya Trilioni 1.48 wamagawana.
Halafu kuna mjinga anajiita mzalendi anasema tanzania ni Masikini.. Eti Mama Mitano tena kaupiga mwingi.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere amegusia changamoto za Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na kueleza kuwa umesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48 kutokana na kushindwa katika Baraza la Usuluhishi.
Ameeleza hayo katika Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
Pia soma:
~ TANESCO, zipi faida za kuwa na bwawa kubwa la Umeme la Julius Nyerere (JHPP) ikiwa Unit 1 ya Umeme wateja wa T1 tunatozwa Sh 292?
~ Mradi wa...
Makadirio ya karibu ya bajeti 2025/2026 Nchini Tanzania Tanzania ipo hivi.
1. Wizara ya Katiba na Sheria → ~ Tsh bilioni 80
2. Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ni Tsh bilioni 120
3. Wizara ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA ni Tsh bilioni 150
4. Mambo ya Nje na Ushirikiano ni Tsh bilioni 200
5. Maliasili na Utalii ni Tsh bilioni 250
6. Ardhi, Nyumba na Makazi ni Tsh bilioni 300
Mifugo na Uvuvi ni bilioni 350
Kilimo ni Tsh bilioni 450 na
Maji ni Tsh bilioni 700
Halafu tanesco wapiga zaidi ya Trilioni 1.48 wamagawana.
Halafu kuna mjinga anajiita mzalendi anasema tanzania ni Masikini.. Eti Mama Mitano tena kaupiga mwingi.
Ameeleza hayo katika Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
Pia soma:
~ TANESCO, zipi faida za kuwa na bwawa kubwa la Umeme la Julius Nyerere (JHPP) ikiwa Unit 1 ya Umeme wateja wa T1 tunatozwa Sh 292?
~ Mradi wa...
- Roving Journalist
- bwawa la mwalimu nyerere cag mwalimu nyerere ripoti ya cag
- Replies: 1
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko