kishegheni
Member
- Mar 6, 2012
- 21
- 85
Unajua kuna Masaki 3 km sio 2 kwa hio wewe unaizungumzia Masaki ipi?Jamani wenzenu huki Masaki TANESCO wanakatiwa umeme Kila siku ikifika saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku . Ukipiga simu wanakuanbia ni mgao. Hivi ni mgao gani Kila siku usiku Kwa hiyo sisi tukitoka kazini hatutakiwi kuwa na umeme. Tunatoka asubuhi tunaenda kazini tukirudi tunakuta Giza Kila siku, jamani tuoneeni huruma huruma na sisi tuna haki huruma #TANESCO mlaaniwe
Hii nchi kuna genge kubwa la wezi wanaotuhujumu, muda huu niko Morogoro nako sehemu nyingi hazina umemeJamani wenzenu huki Masaki TANESCO wanakatiwa umeme Kila siku ikifika saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku . Ukipiga simu wanakuanbia ni mgao. Hivi ni mgao gani Kila siku usiku Kwa hiyo sisi tukitoka kazini hatutakiwi kuwa na umeme. Tunatoka asubuhi tunaenda kazini tukirudi tunakuta Giza Kila siku, jamani tuoneeni huruma huruma na sisi tuna haki huruma #TANESCO mlaaniwe
Muulize Masaki ipi maana kuna Masaki ushuani alafu kuna Masaki Uswahilini kule shamba ukishapita Pugu, alafu kuna nyingine ipo njia hii km unaelekea Kisarawe km sijakosea zote hizo ni Masaki Sasa yeye anazungumzia Masaki ipi?Ni hasara kwa wafanyabiashara wanaotegemea umeme
Masaki haipo moja weweTunaamini kila nyumba Masaki ina standby generator na kwamba hizi kero za umeme hazina athari kwenu.
Do you really belong there?
Au masaki ya choleMasaki ipi kiongozi? ya Kisarawe??
Kangi Naloli Mnyambala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Masaki peoples are Mourning.
Ejoooooo Masaki umeme uyumbile.[emoji24]
#Cry-More.
Anasema tu Masaki hajui watu Masaki wameiamishia Uswahilini huko nako wanapaita MasakiMasaki ya Chanika nn🤣