Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Unafaida ypyote hapa we kapuku,,...?Sukuma gang watanuna 😆😆
Kwa mini unadhani kila kitu kizuri kiwafae kwanza sukuma gang ndio kiwe bora kwa wote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafaida ypyote hapa we kapuku,,...?Sukuma gang watanuna 😆😆
Kama mkoa mzima haukuwa na njia ya umeme mkubwa huo unaotakiwa hapo, wangefanya nini?sasa umeme mkubwa umefika mkoa huo, ndio maana sasa hizo km 6, za kuupeleka GGM, zimewezekana!!yaani na kelele zote zile za jiwe kumbe hakuweza kujenga line hiyo?!!ila nchi hiii....Miaka 20 wanatumia mafuta .Tanesco wapo hawakutaka kupeleka umeme
Mteja yupo yuko tayari kulipa mabilioni .Tanesco wanavuta miguu .
Hehe hehe........yaani watu tunaoitwa WATANZANIA, tuachwe tu! Tunalaumu tayari, ingelikuwa kipindi kileee basi kelele nyingi sana za pongezi zingesikika humu. Nina uhakika na hiloMy God mtumia umeme mkubwa kama huyu atasubiri miezi kumi hadi December 2022 kupata umeme? Hivi Tanesco wanaumwa kipindupindu au?
Hilo libinafisishwe tu tujue moja
Mteja mkubwa huyo ilitakiwa afungiwe chapchap
Haya endeleeni kumuuzia mafuta kampuni zenu wahujumu uchumi nyie zifaidi hadi hapo taree 22 December loooo
Hivi kuhujumu kampuni ya umma Tanesco ili muuze mafuta ya kampuni zenu kunawasaidia nini hasa?
Huyu hapa!Pongezi kwa JPM na watendaji kufanya maamuzi mradi, wamechelewa Sana kwa zaidi ya miaka 20 kutumia fursa soko la GGM.
Umeme huu uliokuwepo hautoshi kuendesha mitambo yake.My God mtumia umeme mkubwa kama huyu atasubiri miezi kumi hadi December 2022 kupata umeme? Hivi Tanesco wanaumwa kipindupindu au?
Hilo libinafisishwe tu tujue moja
Mteja mkubwa huyo ilitakiwa afungiwe chapchap
Haya endeleeni kumuuzia mafuta kampuni zenu wahujumu uchumi nyie zifaidi hadi hapo taree 22 December loooo
Hivi kuhujumu kampuni ya umma Tanesco ili muuze mafuta ya kampuni zenu kunawasaidia nini hasa?
Kwa mchezo wa kuigiza wa bwana porojo mr januari GGM wajiandae kisaikolojia tu.Wasi muangushe GGM wakawa Wana mkatia umeme
TANESCO KUVUNA BILIONI 5 MAPATO YA MWEZI KUTOKA GGM, hii ni siasa tu hakuna mapato hapo. Kampuni ya Mafuta ya puma inapambsna kuzima mkataba huo.TANESCO KUVUNA BILIONI 5 MAPATO YA MWEZI KUTOKA GGM
Kukamilika kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining (GGM) kutaliwezeshaTANESCO kupata kiasi cha shilingi bilioni 5 kwa mwezi zitakazotokana na mauzo ya umeme.
Source: TANESCO
===
Shirika la umeme nchini TANESCO na Mgodi wa dhahabu wa Geita GGM wamesaini mkataba wa kuuziana umeme.
Takribani miaka 20 mgodi wa GGM unatumia mafuta katika kuendesha shughuli zake jambo ambalo ni gharama ukilinganisha na utumiaji wa umeme.
Aidha mradi huo unaotarajiwa kukamilika disemba 22 utasaidia mapato ya bilioni 7 kwa TANESCO yatakayolipwa na Mgodi wa GGM.
Chanzo: Star TV
Wacha beberu apambane kuvuna hiyo pesa, TANESCO watachukua hiyo hela na hatutajua ilipotelea wapi!TANESCO KUVUNA BILIONI 5 MAPATO YA MWEZI KUTOKA GGM, hii ni siasa tu hakuna mapato hapo. Kampuni ya Mafuta ya puma inapambsna kuzima mkataba huo.