Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo Ubungo, jijini Dar es Salaam.
Kutokana na kazi hiyo, huduma ya umeme itakosekana kwa nyakati tofauti kuanzia Jumamosi, tarehe 22 Februari hadi Ijumaa, tarehe 28 Februari 2025, katika maeneo yafuatayo:
Kutokana na kazi hiyo, huduma ya umeme itakosekana kwa nyakati tofauti kuanzia Jumamosi, tarehe 22 Februari hadi Ijumaa, tarehe 28 Februari 2025, katika maeneo yafuatayo: