Watu wasiotumia akili hawawezi kuwa huru kuanzia duniani hadi mbinguni. Duniani ni mateso na baada ya kifo motoni (jehanam).
Sasa basi, tunahitaji kufundisha watu wetu kutumia akili, kupambana na ujinga, kupinga uovu, kupigana na maadui (watesi) wa ndani na nje kwa faida ya wakati huu na baadaye.