TANESCO: Wema ni jipu, tumemuweka kwenye 24hrs surveillance

TANESCO: Wema ni jipu, tumemuweka kwenye 24hrs surveillance

Jose mara ni nani?
uploadfromtaptalk1452851321860.jpg
uploadfromtaptalk1452851330837.jpg
 
Umesema Wema amehamia kwa Kadinda... aisee
 
Hahaahaaaa
...Msaga sumu agaaaaain!

Eti katia shirika hasara kubwa tokea kuanzishwa kwake!!!😀
 
Hahaahaaaa
...Msaga sumu agaaaaain!

Eti katia shirika hasara kubwa tokea kuanzishwa kwake!!!😀
Teh Teh eti tokea kuanzishwa kwake...
Hakika leo amesaga na kukoroga sumu daaaa
 
Ha ha ha watu na vipaji vyao..yaani we jamaa shigongo akikupata anakupa donge nono..
 
Kati ya wote waliompitia ila yeye kichwani kwake yupo mtu mmoja tu.
 
Ngoja nimuite Nifah......
Mwenzangu!Ya leo kali...
Mimi nilianza kumjua na kumkubali Jose Mara kwenye kile kipande kitamu alichoimba kwenye Hujafa Hujaumbika ya FM Academia "Kesho nikifumba macho nitajibu nini mbele ya haki eeeh,kumbe mali za dunia tu ni Sabuni ya roho........"
Na nilikuwa katoto balaaa....
 
Miss Tanzania 2006 na aliyekuwa ex wa Mr Blue,Kanumba,Diamond,model wa Namibia,Jose Maraa,Kigogo wa ikulu na watu kadhaa wasio na majina makubwa hapa town amewekwa katika list ya wateja wa kuangaliwa zaidi na shirika la umeme Tanzania mwaka 2016,habari kutoka ndani kabisa ya shirika hilo zinadai mwanadada huyo amelitia hasara kubwa sana shirika hilo tokea kuanzishwa kwake, ambapo Tanesco makao makuu wameamua kila siku asbuhi na jioni wanapita nyumbani kwa mnyange huyo kuangalia kama mita yake haijachezewa na vishoka ambapo pia wamedai kwamba sababu za mgao wa umeme kipindi cha nyuma Dar kilikuwa ni sababu ya matumizi mabaya ya umeme nyumbani kwa dada huyoo.

Naye mrembo huyo kuonesha kama kweli hatarudia tukio hilo ameamua kupunguza matumizi ya umeme hili kupunguza gharama ,ambapo ameuza AC zake zote na amenunua panga boy 3,ameongeza majiko mawili ya mkaa,amekataza watu kuangalia TV ovyo ovyo ambapo amewataka kuangalia habari na kipindi cha "IN MY SHOES" pekee,pia habari zinadai siku hizi huwa anaenda kwa Kadinda kupiga pasi
.

Mpaka tunaingia mitamboni miss huyo ambaye umri unazidi kumtupa mkono alikataa kuongea na sisi sababu alikuwa bize site na mafundi.

Kila la kheri la dada
hahaha da watu na vipaji vyao vya utunzi
 
its very fun ,,,,,but what a list of Ex BF I think its more than that ,,,,,,,,,,,,,
 
Bangi zinatakiwa kuvutwa sangapi? Wabobezi tafadhali
 
Back
Top Bottom