Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh.....Mgao wa umeme dar ulikuwa sababu ya matumuzi mabaya nyumbani kwa wema. Seriously?
Kabisa....Teh teh.Kumbe wema ndo alikuwa anatulaza giza...Anastahili adhabu huyu..Kwanza namblock Insta..Nyambaaaf
............Mambo mengine bwana, Wema naye mnamsbua wa nini?
Teh Teh eti tokea kuanzishwa kwake...Hahaahaaaa
...Msaga sumu agaaaaain!
Eti katia shirika hasara kubwa tokea kuanzishwa kwake!!!😀
Ametulaza Giza sana huyu mama ubayaTeh Teh.....
Teh Teh eti tokea kuanzishwa kwake...
Hakika leo amesaga na kukoroga sumu daaaa
Mwenzangu!Ya leo kali...Ngoja nimuite Nifah......
hahaha da watu na vipaji vyao vya utunziMiss Tanzania 2006 na aliyekuwa ex wa Mr Blue,Kanumba,Diamond,model wa Namibia,Jose Maraa,Kigogo wa ikulu na watu kadhaa wasio na majina makubwa hapa town amewekwa katika list ya wateja wa kuangaliwa zaidi na shirika la umeme Tanzania mwaka 2016,habari kutoka ndani kabisa ya shirika hilo zinadai mwanadada huyo amelitia hasara kubwa sana shirika hilo tokea kuanzishwa kwake, ambapo Tanesco makao makuu wameamua kila siku asbuhi na jioni wanapita nyumbani kwa mnyange huyo kuangalia kama mita yake haijachezewa na vishoka ambapo pia wamedai kwamba sababu za mgao wa umeme kipindi cha nyuma Dar kilikuwa ni sababu ya matumizi mabaya ya umeme nyumbani kwa dada huyoo.
Naye mrembo huyo kuonesha kama kweli hatarudia tukio hilo ameamua kupunguza matumizi ya umeme hili kupunguza gharama ,ambapo ameuza AC zake zote na amenunua panga boy 3,ameongeza majiko mawili ya mkaa,amekataza watu kuangalia TV ovyo ovyo ambapo amewataka kuangalia habari na kipindi cha "IN MY SHOES" pekee,pia habari zinadai siku hizi huwa anaenda kwa Kadinda kupiga pasi
.
Mpaka tunaingia mitamboni miss huyo ambaye umri unazidi kumtupa mkono alikataa kuongea na sisi sababu alikuwa bize site na mafundi.
Kila la kheri la dada
aseee 🙂Mgao wa umeme dar ulikuwa sababu ya matumuzi mabaya nyumbani kwa wema. Seriously?