DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa wetu, na pole kwa changamoto hiyo, tumepokea taarifa za hitilafu kwenye miundombinu ya umeme maeneo hayo watalaamu wetu wanaendelea kufanya marekebisho ili huduma iweze kurejea kwenye ubora stahiki, tunaomba radhi kwa adha zilizo jitokeza.Taarifa
Tangu siku ya Jana mnakata Umeme tu
Huku Temeke Hali ya hewa ni joto Kali watu mnawakatia umeme hata Taarifa hamtoi Tena mnakata siku nzima .
Kazi zinazohitaji Umeme zipo nyingi Sana , je? Mnataka watu waishije ikiwa mnakata Umeme siku nzima na hamtoi Taarifa je mnatoa mgao ? Na huu ni aina gni ya mgao wa kukata umeme 24-48 hours
TANESCO hivi haya mnayoyafanya mnajiona Mpo sahihi?
NB wewe Byabato Naibu waziri nakupigia simu unasema hauna huwezo wa kutatua tatizo Kama hilo
Nikuambie tu 2025 sio mbali tuombe uzima
Umerudi Umeme MkuuNdio kule kwa Mpalange?? Poleni sana, at least nyie kule Kuna kaupepo. Sisi hapa Tandale hakuna hata air circulation ya uhakika
Tusubiri Muda utaamuaVp utampa kura tena huyo au
Ova