TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

TAtizo la mtoa Uzi ni mshamba, mill 30 kwa software ni ya kawaida kwa kampuni kubwa kama TANESCO

Mmezoea kutumia software za uwizi unafikiri kampuni kubwa kama TANESCO nao watatumia hapana
 
Sukuma Gang kazini.....mnalipwa na nani ? Ili iweje? Kala Manii harusi tena hapo hata iweje...sponsor hufariki jamani nae ni binadamu
 
Kuna Halmashauri niliwahi kufanya kazi Idara ya Ardhi waliibia Halmashauri huku madiwani wakimwaga sifa nyingi kwa ubunifu wa ile Idara. Walidownload Google Map wakadai wamenunua software kwa gharama ya Sh 20 milioni ili kusaidia mipango mji.

Lile dude tulilibeba mpaka Maonesho ya Nane Nane kuwaonesha wananchi jinsi Halmashauri yetu ilivyopiga hatua katika Idara ya Mipango Miji. Sidhani mpaka leo kama ile Halmashauri ilishagundua iliibiwa. Tuligundua vijana wawili tu kitoka Idara nyingine ambao tulikuwa ndo tumepata ajira.

Just imagine kama Halmashauri inaibiwa kienyeji namna hiyo hali ikoje katika mambo makubwa ambayo Watanzania wengi hawana utaalam nayo?
 
Mkuu umeongea Fact hapa, angalia kuanzia sakata la tozo, vifurushi mpaka hili la umeme, akija yeye ni kutetea mawazo ya wasaidizi wake tu hasimami upande wa wananchi yeye mara zote usimama na watendaji/wasaidizi kazi wake
 
January ameyatoa maisha yake kwa ajili ya kufisadi nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…