TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

TAtizo la mtoa Uzi ni mshamba, mill 30 kwa software ni ya kawaida kwa kampuni kubwa kama TANESCO

Mmezoea kutumia software za uwizi unafikiri kampuni kubwa kama TANESCO nao watatumia hapana
Mkuu uwe unasoma nakuelewa basi unaambiwa $ wewe unatamka milion 30 kama shilingi! Upo meza kuu nini
 
Wanawake wa Tanzania wamepiga hatua hadi kufikia nafasi ya urais na nafikiri hili ndiyo jambo kubwa kwa Samia kwamba yeye mwanamke kutambulika kuwa ni kiongozi wa juu kabisa katika nchi, sasa hayo ya sijui ni vp huyo mwanamke anaiongoza hii nchi sio la kuliangalia sana sasa hivi muhimu ni kufurahia hii hatua ambayo wanawake wameweza kuifikia basi.
 
Hivi kama zile software za banks huwa wanalipia kiasi gani sasa? Maana hapo zamani nilisikia dola milioni moja kwa kila ATM kwa mwaka.

Kwa hivyo software kama hizi gharama zake ni kubwa sana. Ila sasa tunataka facts siyo rumors.
 
At Some point

I was made to believe kwamba EGA ndio atakua msimamizi mkuu wa haya mambo na tutajitahidi kuwa tunatengeneza software zetu Kwa ajili ya haya mambo
 
Jamani nchi yetu na Wahindi ! Jumamosi iliyopita nilisafiri na treni kutoka Dar mpaka Arusha. Tulipoondoka Dar nilikuwa naongea na staff mmoja fundi wa TRC nae alikuwa anasafiri tulipopita pale Ilala yard akanionyesha akasema mle ndani ya workshop kuna vile vichwa vya treni 12 vilvyoibuliwa na JPM pale bandarini kutoka India ambapo mwenye mali hajajitokeza mpaka leo na vichwa vimeegeshwa tu. Tunaambiwa ile ni dili ya viongozi wawili mmoja alishaondoka zake sijui kama serikali ililipia hivyo vichwa au la. Ninachosema hapa wahindi kwa magendo!!!!! hongereni na kukodisha software kumbe ile juhudi ya Kalemani kumalizia vijiji vyote kupata umeme ilikuwa inazuia dili za watu.....
 
Sio kwamba ufisadi ulikufa wakati wa Dikteta Magufuli, tatizo hapakuwa na vyanzo vya habari kuelezea mambo ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…