SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), linatarajia kuanza kutumia teknolojia mpya na ya kisasa zaidi ya ukusanyaji ankara kwa watumiaji wa kati.
Meneja Uhusiano wa shirika hilo Badra Masoud, alisema jana katika taarifa yake kuwa lengo la kutumia teknolojia hiyo, ni kukabiliana na upotevu wa mapato.
Shirika limefanikisha kupata teknolojia ya kisasa zaidi ya Automatic Meter Reader (AMR) ambayo itaanza kutumika mwaka huu, alisema Masoud katika taarifa hiyo na kuongeza:
Mita hizi mpya zitaunganisha teknolojia ya AMR na ile ya LUKU ambapo mteja atalipia umeme kabla ya kutumia na shirika litaweza kupata taarifa ya matumizi ya mteja pamoja na mwenendo wa mita kwa wakati. Hii itasaidia kuongeza mapato ya shirika na kudhibiti upotevu wa umeme.
Taarifa hiyo ilisisitiza kuwa, teknolojia hiyo ni ya kisasa na itasaidia kupunguza makosa ya kibinadamu, yaliyokuwa yakitokea wakati wa uandaaji wa ankara na usomaji wa mita.
Ilisema kuwa, teknolojia ya AMR inawezesha kusoma na kurekodi matumizi ya umeme kila saa kwa usahihi mkubwa.
Taarifa hiyo ilifafanua kuwa, mita za AMR hupeleka taarifa za usomaji wa mita kwenye kompyuta za shirika zilizopo makao makuu kila baada ya saa.
Mfumo wa kompyuta za AMR hupokea na kuratibu taarifa za matumizi ya umeme kutoka kwenye mita ya mteja na kuandaa taarifa mbalimbali, ilieleza taarifa hiyo:
Mteja anayetumia mita za AMR anaweza kupata taarifa ya matumizi yake ya umeme wakati wowote anapohitaji taarifa hizo kwa kutumia tovuti ya Tanesco
swali kwa tanseco ,mlisema hamna hela za uendeshaji sasa hii mladi ni wanini maana mlikuwa mnataka kupandisha bei ya umeme,sasa mimi sipingi technolojia alkini hizo pesa za mradi zitatoka wapi,hii ndo mzingo munayojitwika bila sababu,wewe mapato mmeshandwa wapi kukusanya wakti watu LUKU ndo solution ya hayo.
swali ala pili huu mradi wa AMR hauna ubaya wake vipi
Loss of privacy yaani haina usiri mtu yoyote anaweza akahang nakufanya chochote juu ya meter hizi,
vipi kuhusu
Meter readers losing their jobs-wale wanosoma meter kazi zao vipi mmewahakikishia kazi zote maana hapata kuwa tena na watu special wa kusoma meter ,kitengo kinakufa au?
vipi kuhusu
Increased security risks from network or remote access[SUP]https://www.jamiiforums.com/#cite_note-ieee-6[/SUP]-ulinzi kwenye vituo vya kupokea taarifa upo kama tu transformer kwenye wizi wa mafuta mlishindwa vipi meter amabazo ndo zitakuwa nyingi kuliko transformer?
Naona niishie hapo maana kunavitu hii nchi inawakubalia watu kuingiza taasisi za serikali mambo magumu mwishoe mladi unakufa ,
kuna mambo ya uandilifu na umakini,yaani realibilty na greate potential for monitoring ,hii ni watu wandilifu kitu amabacho hapo tanesco tumeona mawaza uza mengi
Haya nipeni majibu yangu
source Mwananchi la leo.