The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
“Tunahamasisha ulinzi shirikishi wa miundombinu kwa kushirikiana na wananchi katika kutoa taarifa kuhusu vitendo vya kihalifu kama vile wizi wa umeme, uharibifu au wizi wa vifaa vya umeme. Hili ni jukumu letu sote kama wananchi na wadau wa maendeleo,” Irene Gowelle Mkurugenzi wa Mawasiliano na Huduma kwa Wateja