TANESCO yapata hasara ya milioni 770 kutokana na wizi wa miundombinu

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
“Tunahamasisha ulinzi shirikishi wa miundombinu kwa kushirikiana na wananchi katika kutoa taarifa kuhusu vitendo vya kihalifu kama vile wizi wa umeme, uharibifu au wizi wa vifaa vya umeme. Hili ni jukumu letu sote kama wananchi na wadau wa maendeleo,” Irene Gowelle Mkurugenzi wa Mawasiliano na Huduma kwa Wateja

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…