TANESCO yasaini mkataba wa kuzalisha Umeme Jua MW 150 Kwa Bilioni 275. Waziri Makamba apiga marufuku mauziano ya Umeme kwa Dola

Nchi Huwa haiendeshwi hivyo,eti umalize mradi mmja ndio uanze mwingine,hakuna kitu kama hicho kwenye umeme..
Unaweza pata industry inahitaji umeme mwingi at par itakuaje? Au chanzo kimojawapo kimepata janga itakuwaje?

Hizi ni fikra za form two huko .
 
Ndio umeme ukiongezeka tunataka kufuta matumizi ya mafuta kabisa Kwa kuingia kwenye solar, geothermal na Wind bila kusahau kuendelea na tradition source za maji,makaa na gas
 
Hizo ni akili za darasa la pili.
Energy mix ni energy security na Tanesco inalenga kuwa na megawatt 5000 by 2025 Sasa bwawa ndio litafikisha 5,000?
 
Hakuna Cha storage acha kukurupuka,utaingia kwenye matumizi Moja kwa Moja
sasa wewe ndio unakurupuka...., hata tukifanya huu uingie katika grid moja kwa moja ni kwamba tutakuwa na extra megawatts wakati wa mchana jua na jioni hizo extra zitakuwa hazipo hizo 150MW zitakuwepo wakati kuna jua wakati hakuna inakuwaje ? Huo sio ufanisi (storage ni muhimu kwenye solar)
 
Aliyekwambia nani? Kwani mradi wa Nyerere haijakamilika kwamba hauna hela au ni time table? Punguzeni ujinga na ujuaji usio na msingi, Tanesco inalenga kuwa na umeme walau megawatt 5,000 by 2025 Sasa bwawa ndio litafikisha huko?
 
Wakati hakuna jua hakuna Cha umeme ,zitaingia wakati wa jua tuu by the way kwani storage Ina shida gani? Naona inashadidia as if ni kitu Cha ajabu
 
Kwahio unabahatisha ukitegemea unapata industy inayohitaji umeme at par ?!!! Kwamba Bwawa likiisha capacity kudouble (yaani mara mbili ya sasa huo ni umeme mdogo)? Hata kama ni mdogo ila ni mara mbili ya sasa kwanini tusiweke nguvu zote huko ili tumalize ?

Unadhani miradi hio inayoanzishwa haina gharama wala haiitaji uangalizi ? Au unadhani hii ni abracadabra ukisema anza au open sesame na inakuwa
 
Megawati 150 ni kidogo?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Mzee uko "serious"?!!! [emoji1787]
Hao nyumbu wanaripoka tuu hakuna wanachokijua..

Mwambie alinganishe gharama zilizotumika kwenye ujenzi wa mradi wa kuzalisha megawatt 14 za maji walizozindua Rais Samia na Museveni juzi ndio aje tena kuropoka
 
Aliyekwambia nani? Kwani mradi wa Nyerere haijakamilika kwamba hauna hela au ni time table? Punguzeni ujinga na ujuaji usio na msingi, Tanesco inalenga kuwa na umeme walau megawatt 5,000 by 2025 Sasa bwawa ndio litafikisha huko?
Unawaza kuwa na MG 5000 wakati hata elfu mbili hauna ?!!!!, kwanini usipate kwanza hizo 2000 pia umeme sio kwamba bora umeme ni umeme nafuu; sasa huu umeme wa kuuziwa na middlemen madalali utamsaidia vipi average Joe ?

Mpaka sasa mjini kuna umeme na nyaya zipo lakini kuna watu hawajaunganisha na wenye nao hawahutumii kwenye matumizi kama ya Oven n.k. WHY?!!!

Utagundua affordability ni jambo muhimu zaidi na jambo haliwezi likawa affordable kama anayetakiwa Kutoa hii huduma ananunua ili auze (amegeuka kuwa dalali)
 
People, Issues, Events....... Wengi tunachochagua ku-invest muda wetu, no wonder vingi vinavyofanyika sio endelevu....

Badala ya ku-pinpoint wapi nimekosea unajaza server kwa kuniongelea mimi a non entity katika mjadala huu.....
Sina mda wa kujichosha kujibu wajinga Mimi
 
Wakati hakuna jua hakuna Cha umeme ,zitaingia wakati wa jua tuu by the way kwani storage Ina shida gani? Naona inashadidia as if ni kitu Cha ajabu
Ndio hapo nagundua una matatizo au haujafuatilia haya mambo; Storage ina shida gani ? Unajua cost and efficiency of storage ? unadhani storage ingekuwa efficient na tuna uwezo wa kupata storage yenye energy density kubwa kama dunia si tungesambaza solar jangwani na kuhuduia dunia nzima kwa umeme.., unadhani storage ingekuwa rahisi hio smart phone yako ungechaji kila baada ya siku au uzito wake ungekuwa kama ulivyo sasa...
 
Kwa hiyo Kwa sababu huna elfu 2 basi ni taboo kuwaza elfu 5? Akili au Matope? Hizo elfu 5 zinapatikana over night au over time? Kwa akili Yako hii ya kijinga basi unadhani megawatt hizo ni nyingi saana kwenye uchumi au?
Tanzania Kuna migodi mingapi ambayo Iko mbioni Kuanzishwa kabla ya 2030? Kwa hiyo itatumika umeme gani?

Unaelewa hata maana ya energy mix? Market segmentation Je?

Swala la mjini kuwa na umeme na watu kutounganishwa limeelezwa vizuri sana na Tanesco kwamba it needs umeme wa kutosha, miundombinu ya kusambaza na kujaziliza umeme yaani uwezo wa Sasa wa njia ni mdogo inahitaji njia Mpya,na pia gharama za kuwafuata hao watu hasa Wakiwa wachache ni kubwa maana shirika haliendeshwi kibiashara inavyotakiwa inasubiria ruzuku na makusanyo Yao kiduchu..

Ndio maana Chande alikataa habari za kushusha bei Kwa sababu itaondoa sustainability ya Shirika
 
Narudia storage Ina shida gani? Nchi zinazotumia solar hapa Africa zinasambaza Dunia nzima? Acha ujinga basi
 
Tunamtengenezea afu anatuzia umeme

Hahahahah noma sana

Kwa hizo gharama ilipaswa mitambo iwe mali yetu chini ya shirika la umeme la nchi
Kwani mimi ndo nimeelewa vibaya, mimi nadhani tumempa kandarasi ya supply and installation alafu anatukabidhi then sisi tunaendelea na operation.
Solar system initial installation cost ndiyo kubwa lakinj operation huwa ni kidogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…