ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #61
Nchi Huwa haiendeshwi hivyo,eti umalize mradi mmja ndio uanze mwingine,hakuna kitu kama hicho kwenye umeme..Nishati; Utitiri wa Miradi, (Mnaonaje tukimaliza Mmoja kwanza kabla ya Kuanza Mwingine)
Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua). Ni Vema na Haki..., ila swali, si bora tungemaliza kwanza mradi mmoja kuliko kushika shika hapa na pale..., Wahenga walisema...www.jamiiforums.com
Unaweza pata industry inahitaji umeme mwingi at par itakuaje? Au chanzo kimojawapo kimepata janga itakuwaje?
Hizi ni fikra za form two huko .