Wenye uelewa mdogo ktk hili watapinga hoja yako.Issue sio kuzalisha hata Jangwani wanaweza kuzalisha kuzalisha ma_gigawatt let alone Megawatt issue ni tunazitunza vipi hizo megawatt ili wakati hakuna jua tuzitumie ? (Storage bado ni bottleneck kwenye solar)
Kwanini wanunue ili wauze ?, Kwanini wazimalize Bwawa la JKN haraka na lianze kazi ili badala ya kununua wao ndio wauze ?
Mbona hoja za msingi hujibuHizo ni akili za darasa la pili.
Energy mix ni energy security na Tanesco inalenga kuwa na megawatt 5000 by 2025 Sasa bwawa ndio litafikisha 5,000?
Unagharamiwa na nani?Huo ni mradi wa private sector chini ya PPP.
Tulipe Kwa lipi,sikilizeni video hapo Juu ..Mbona hoja za msingi hujibu
Je tunalipa hiyo gharama ya mutambo pamoja na installation
Swali au hoja kwann visiwe vyetu kwa pesa hiyo?
Au je baada ya b215 kutakuwa na malipo ya uendeshaji au ndo tunamaliza hapo?
Hapana kwa maelezo mitambo inakuwa chini yake na ndio maana selikal wanakuwa wateja tena kupitia tanescoKwani mimi ndo nimeelewa vibaya, mimi nadhani tumempa kandarasi ya supply and installation alafu anatukabidhi then sisi tunaendelea na operation.
Solar system initial installation cost ndiyo kubwa lakinj operation huwa ni kidogo sana.
Umeme wa maji una zalisha kiwango hko cha pesa na mega watt hzo...Wewe unataka iwe bei gani? Mradi gani wa Maji unaweza uzalishaji megawatt 150 Kwa bil.275?
sawa vip kule bwawa la mwalimu linaendeleaje ujazo wa maji hauruhusu umeme kuwashwaSerikali Kupitia Tanesco imeandika Historia ya kusaini mkataba wa Kuzalisha Umeme wa Juna na kampuni ya China wenye thamani ya Shilingi Bilioni 275 ambao utazalisha megawatt 150 Kishapu ,Shinyanga na Kwa awamu ya kwanza Wataanza na megawatt 50.
Waziri wa Nishati January Makamba akishuhudia mkataba huo amepiga marufuku Tanesco kununua Umeme kutoka Kwa wazalishaji Kwa malipo ya dola badala yake Shilingi ndio ittumika..
Aidha amewataka Tanesco kuwawezesha wazawa Ili waweze kuzalisha umeme akisema hakuna maajabu Hadi wao washindwe..
My Take
Hongera sana Makamba,majungu achilia failures wewe endelea kuchapa kazi.
=======
Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imesaini mkataba wa kwanza wa uzalishaji wa umeme Jua wa kiasi cha megawati 50 utakaotekelezwa wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
Mkataba huo umesainiwa tarehe 29 Mei, 2023 jijini Dodoma na kushuhudiwa na Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba ambaye alikuwa mgeni rasmi.
Kwa ujumla mradi huo wa umeme wa Jua ni wa megawati 150 ambapo awamu kwanza itajengwa mitambo itakayozalisha megawati 50 na awamu ya pili itajengwa mitambo ya megawati 100 kwa jumla ya shilingi bilioni 275. Utekelezaji wa mradi wa Awamu ya kwanza hautazidi miezi 12.
Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri wa Nishati amesema kuwa βkwa mara ya kwanza katika historia ya nchi tunaingiza umeme wa Jua katika gridi ya Taifa, nimpomgeze Rais wetu kwa kwa muongozo na uongozi ambao umepelekea nchi kuaminiwa na washirika wa maendeleo ikiwemo Shirika la Maendeleo la Ufaransa ambalo limetoa mkopo ambao utatekeleza mradi huu.β
Ameeleza kuwa, utekelezaji wa mradi huo wa Jua ni jitihada za Serikali za kuhakikisha inatengeneza mchanganyiko wa umeme wenye afya katika gridi ya Taifa ambao utatokana na vyanzo mbalimbali kama vile maji, gesi, upepo na Jua ili hata pale chanzo moja kinapotetereka, vyanzo vingine vitaendelea kuzalisha umeme.
Waziri Makamba amesema kuwa, ili kuongeza zaidi uzalishaji wa umeme kwa kutumia nishati jadidifu, Serikali inakuja na Sera mpya ya Nishati Jadidifu (iko kwenye maandalizi) ambayo itasaidia nchi kuongeza uwekezaji kwenye eneo hilo kwani fedha nyingi duniani, masoko ya mitaji na teknolojia mpya zinajielekeza kwenye nishati jadidifu.
Ameongeza kuwa, kwa sasa kazi inayofanyika pia ni kuainisha maeneo yaliyo na rasilimali ya nishati jadidifu na kipaumbele kitakuwa kwa wazawa kuwekeza kwenye miradi kama ya Upepo na Jua na Serikali itawaunga mkono na kwamba Serikali itakuja na muongozo wa utekelezaji wa suala hilo.
Ameongeza kuwa, kwa maeneo yaliyo nje ya gridi kama vile visiwa, bado Serikali itaendelea kuwezesha jitihada za kupelewa umeme kwa kutumia miradi ya nishati jadidifu kama vile Jua na Upepo.
bibi yupo anatazama movieBillion 275 kwa megawatt 150 unasema good move,????pole Sana
Ingia page za Tanesco utapata majibusawa vip kule bwawa la mwalimu linaendeleaje ujazo wa maji hauruhusu umeme kuwashwa
tamka hapa we uliyeingiaIngia page za Tanesco utapata majibu
Unapayuka tuu hujui kitu..Umeme wa maji una zalisha kiwango hko cha pesa na mega watt hzo...
Wewe kiazi kweli, garama ya vitu, unaangalia vitu vingi... Kwanza angalia water fall yake ipoje, angalia kina cha maji, na wingi wa majiUnapayuka tuu hujui kitu..
Soma hapa [emoji116]
Ndio maana nakwambia wewe ni mpumbavu,unapolazimisha kwamba bil.275 zinaweza uzalishaji umeme megawatt 150 una akili timamu?Wewe kiazi kweli, garama ya vitu, unaangalia vitu vingi... Kwanza angalia water fall yake ipoje, angalia kina cha maji, na wingi wa maji
Nina akili timamu kwa maana nafanya kazi kwenye power plant... So naelewa kila kitu..Ndio maana nakwambia wewe ni mpumbavu,unapolazimisha kwamba bil.275 zinaweza uzalishaji umeme megawatt 150 una akili timamu?
Unaweza kuwa fundi tuu ,Kwa hiyo unaelewa kwamba Bil.275 zinaweza uzalishaji megawatt 150 za umeme wa Maji? ππNina akili timamu kwa maana nafanya kazi kwenye power plant... So naelewa kila kitu..
Unadhani mgt 2100 ni nyingi Kwa viwanda vikubwa? Kuna viwanda vya kuzalisha vyuma vinahitaji mgt 3500 kwa nchi kama ya kwetu ili tuwe na viwanda vikubwa tuwe na mgt 10000 mpaka 35000 ndiyo tutaweza hata kuuza umeme mkubwaIssue sio kuzalisha hata Jangwani wanaweza kuzalisha kuzalisha ma_gigawatt let alone Megawatt issue ni tunazitunza vipi hizo megawatt ili wakati hakuna jua tuzitumie ? (Storage bado ni bottleneck kwenye solar)
Kwanini wanunue ili wauze ?, Kwanini wazimalize Bwawa la JKN haraka na lianze kazi ili badala ya kununua wao ndio wauze ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Ila huku hamna wapigaji...Unaweza kuwa fundi tuu ,Kwa hiyo unaelewa kwamba Bil.275 zinaweza uzalishaji megawatt 150 za umeme wa Maji? [emoji16][emoji16]
Kama unaelewa Kwa nini hukushauri huko unakofanya kazi mfanya vinginevyo?
Inaweza mbona, kamamna water fall yenye uwezo wa kuzungusha turbine yenye kufua kiwango hko cha umemeUnaweza kuwa fundi tuu ,Kwa hiyo unaelewa kwamba Bil.275 zinaweza uzalishaji megawatt 150 za umeme wa Maji? [emoji16][emoji16]
Kama unaelewa Kwa nini hukushauri huko unakofanya kazi mfanya vinginevyo?