Tanesco yasema Ujenzi bwawa la Nyerere wafikia 77% utakapoisha tatizo la Umeme litakuwa Historia

Tanesco yasema Ujenzi bwawa la Nyerere wafikia 77% utakapoisha tatizo la Umeme litakuwa Historia

Kaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77%

Source ITV Habari
42282831-29FD-489F-B16E-5EA005CBA198.jpeg
 
Huo ukame mpaka uje ulete shida ya maji huko kwenye Bwawa wewe utakuwa ushakufa kwa kiu ? Kwahio suala la Maji ni for survival of human species hayo ya umeme ni nyongeza tu...

Pili kumbuka Tanzania ina above average rainfall, tatu yale maji yanatumika baada ya kupita na kuzalisha umeme sio kwamba yanaliwa na mashine (ni ile potential energy) yanapoanguka kutoka juu mpaka chini ile nguvu ya uzito na kasi yake yanazungusha motor na kuendelea na safari yake..., pia kama Tanesco wangesikiliza wanaweza kutumia hii pia kama battery....

Shukrani.
 
Back
Top Bottom