Huo ukame mpaka uje ulete shida ya maji huko kwenye Bwawa wewe utakuwa ushakufa kwa kiu ? Kwahio suala la Maji ni for survival of human species hayo ya umeme ni nyongeza tu...
Pili kumbuka Tanzania ina above average rainfall, tatu yale maji yanatumika baada ya kupita na kuzalisha umeme sio kwamba yanaliwa na mashine (ni ile potential energy) yanapoanguka kutoka juu mpaka chini ile nguvu ya uzito na kasi yake yanazungusha motor na kuendelea na safari yake..., pia kama Tanesco wangesikiliza wanaweza kutumia hii pia kama battery....
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...