TANESCO yatangaza upungufu wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa kutokana na Ukame

Umejibu Vema sana, wengine ukiwaangalia unaona kabisa hawana akili
 
Sasa ndio mikanda na mikwiji yote ifungwe.

Ilianza Schedule Maintenance, ikaja vituo chakavu, sasa hivi ukame kesho wanaweza waksema Ukraine na Russia.
 
Yakobo 5:17 “Eliya Aliomba kwa bidii mvua isinyeshe, na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita.18 Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake.

KWENU MITUME NA MANABII
 
Sasa Hilo bwawa la mwl nyerere wanalijenga la nini maji watatoa wapi?
Kwa jinsi lilivyojengwa na mpaka kukamilika hakutarajiwi kupatikana uhaba wa maji wala umeme!!
kwani kila upande kutoka sehemu ya bwawa kumejengwa vijibwawa vidogo vya akiba kama saba hivi kila upande, ili kukabiliana na uhaba pindipo bwawa kuu litapungua maji basi vijibwawa vya akiba vitafunguliwa kujazia upungufu ktk bwawa kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…