Tanga: Auawa kwa kuchomwa kisu, inadaiwa chanzo kumuomba maji ya kunywa aliyefunga

Tanga: Auawa kwa kuchomwa kisu, inadaiwa chanzo kumuomba maji ya kunywa aliyefunga

Tunakoelekea hizi dini!!!!!!!🤔🤔🤔
 
Dini ni kitu cha kipuuzi sana kuwahi kugunduliwa na binaadamu katika uso wa dunia

kwa hiyo Watu wakiuawana kwa wivu wa Mapenzi lawama zinaenda kwa alieanzisha mapenzi?

watu wakiuawana wakigombea mpaka wa shamba lawama zinaenda kwa alieanzisha mipaka kwny mashamba?

Ushaambiwa alimshinikiza aliefunga ampe maji? umefahamu alimshinikiza kwa namna gani?

Hujui kuwa binadamu wana reaction tofauti inapokuja suala la kushinikizwa bila kujali anashinikizwa kwny nini?

kwa hiyo binti akishinikizwa kuolewa hadi ukatokea ugomvi wakauawana lawama anabeba alieanzisha utaratibu wa kuoana?

Watu wakiuawana kwny uchaguzi basi tunalaani waanzilishi wa uchaguzi?
 
Dini ya mwarabu inasababisha mtu mweusi anamuua mwenzake kisa kamuomba maji ya kunywa!
Wacheni ushabiki wa kipuuzi hawa wawili lazima walikuwa na ugomvi wao mwingine ndiyo ulioleta matokeo hayo.

Kwanza imekuaje huyo anayeomba maji ambaye ni muislamu (kwa jina) akaomba maji kwa mwenzake? Si angejinywea tu mwenyewe yakaisha?

Siyo kwamba nashabikia mauaji ya kijinga lakini hii sababu haina mashiko kabisa.
 
Baadhi ya waumini wa hizi dini hasa hii ya Kiislamu ni wajinga wenye misimamo iliyopitiliza ona sasa ujinga unavyokugharimu kisa kufunga Ramadan je ndivyo dini zinavyoelekeza?.
Hana msimamo wowote, Mtume anasema mtu anapofunga kisha akaudhiwa, jibu ni moja tu "Mimi nimefunga", hizo hasira hadi za kufata kisu kazitoa wapi?
 
Wacheni ushabiki wa kipuuzi hawa wawili lazima walikuwa na ugomvi wao mwingine ndiyo ulioleta matokeo hayo...
Naunga mkono hoja. Bila shaka kabla ya kuchomana visu, na kama ni kweli hoja ni maji, lazima kulitokea mabishano ya maneno kwanza na kabla ya mabishano hayo lazima maneno kama 'sitaki, usinifuatilie n.k' lazima yalitoka kwa muuaji.

Kulikuwa na lazima gani kwa marehemu kuendelea kung'ang'ania hapo tu na asitumie busara kuomba msamaha na kuondoka au kama hilo aliona ni gumu (udhaifu) kwake basi angeondoka tu kimya kimya na kumuomba mwingine. Kuna shida mahali na hii siyo sababu kabisaaa.

Kwakuwa umepatikana mwanya wa kushambulia hiyo dini ya muuaji basi watu wamefungia ndani akili na wamefungulia midomo.
 
Wacheni ushabiki wa kipuuzi hawa wawili lazima walikuwa na ugomvi wao mwingine ndiyo ulioleta matokeo hayo.

Kwanza imekuaje huyo anayeomba maji ambaye ni muislamu (kwa jina) akaomba maji kwa mwenzake? Si angejinywea tu mwenyewe yakaisha?

Siyo kwamba nashabikia mauaji ya kijinga lakini hii sababu haina mashiko kabisa.

Chanzo ni dini hapo maana huyo jamaa aliefunga ameona anaharibiwa swaumu yake kwa kuombwa maji ya kunywa!
Ikabidi amchome kisu
 
Naunga mkono hoja. Bila shaka kabla ya kuchomana visu, na kama ni kweli hoja ni maji, lazima kulitokea mabishano ya maneno kwanza na kabla ya mabishano hayo lazima maneno kama 'sitaki, usinifuatilie n.k' lazima yalitoka kwa muuaji.

Kulikuwa na lazima gani kwa marehemu kuendelea kung'ang'ania hapo tu na asitumie busara kuomba msamaha na kuondoka au kama hilo aliona ni gumu (udhaifu) kwake basi angeondoka tu kimya kimya na kumuomba mwingine. Kuna shida mahali na hii siyo sababu kabisaaa.

Kwakuwa umepatikana mwanya wa kushambulia hiyo dini ya muuaji basi watu wamefungia ndani akili na wamefungulia midomo.
Lakini pia upo umuhimu wa viongozi wa dini kutoa elimu kila siku za ibada kuhusu umuhimu wa kuvumiliana hasa waumini wanapokuwa kwenye amri muhimu kama hizi za kufunga.

Sitegemei kusikia mtu anasema yupo ktk amri fulani ya imani yake kwa ajili ya kujipatanisha na Mungu wake halafu wakati huo huo amuuwe mtu kwa sababu yoyote ile.watu hawapewi elimu tatizo.
 
Mwili usiojishughulisha ni hekalu la shetani, wangekuwa kwenye vibarua au shambani wanapalilia wangepata wapi muda wa kuchomana visu?
Wanakula wanashiba, energy haina matumizi matokeo yake wapata nguvu za kupigana.
Walikua kwenye mfungo mtukufu
 
Ila ukiwa umefunga shetani hua anakuja kukuletea majaribu mengi sana kukupima imani yako.
 
Back
Top Bottom