Pre GE2025 Tanga: CCM yapigwa Changa la Macho, Vijana 100 waliodaiwa kuhamia wakitoka CHADEMA, hawakuwahi kuwa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi sio mwanasiasa wala mwanachama wa chama chochote cha kisiasa, na wala sio social scientist bali nipo kwenye natural sciences. Kwa mujibu wa research nazofanya mojawapo ni qualitative ambayo haihitaji empirical data, tunapata conclusions kwa human perceptions, feelings, thoughts, says, mitazamo, mazungumzo, reactions, nk nk.

Kwa ujumla utafiti wangu usio rasmi qualitatively, naona Chadema ni lidude moja kubwa mno na linalotisha sana kwa kutazama namna reactions, na qualitative data zilizopo humu JF, radioni, social media zingine, TV, blogs, Polisi, jeshini, mitaani, magengeni, chats, groups za chawas etc. hamna siku chadema haijatajwa mara 10 hadi 20! Kuanzia mama yao/yetu akilala, akiamka, akiongea, akiwaza, chadema inazunguka kichwani kwake, makondeko kule kwa landrover kila akiamka, makalai kwenye mizunguko yake ya perdiem, joni nchambi, tulizo kule dom, mcheza kiduku wa daslam, hapi, mkumbwa, cc yote ya ccm, machawa wazoefu na wapya kote mitandaoni, mwashamba, talalalah, choicevariable, yohana mbatizaji, na wengine lukuki. Polisi ndio wakisikia kuanzia kaka yao mkubwa anayevaa official dress na buti hata kwenye sherehe ikulu kama yupo vitani ndio wanapagawa kabisa na kuitana nchi nzima, na kuwasha mazimamoto yao ya kipigaji. Hili dude linawatisha sana kisaikolijia.

My conclusion kwa haya naona chadema sasa niifananishe na maji kwa kweli, yani ni lazima uyatumie tu ili uishi, kuna watu kwa kuitajataja tu wamepata uwaziri, ukuu wa wilaya, ukuu wa mikoa, ubunge, uchawa rasmi, ukatibu-kata na uenezi wa ccm, wengine wakapigwa na pesa, wengine ubalozi, wengine ucovid-19 sasa hii si sawa na maji tu wandugu??

Yani utake usitake utayanywa, usipoyanywa utayaoga, usipoyaoga utafulia, usipoyafulia utapikia, usipopikia utaoshea hata tongotongo. Ili tumbo lako lisitirike kwa sasa we andika, taja, waza, ongea kuhusu chadema, ukiongelea mwengine unafutika tu kama upepo. Relavance yako itakuja kwa kusema chademaaaaa, chademaaaa hata kama huna logic km mwashamba.

Yani kuna watu wasipotaja chadema wanapotea so ili wawe relevant lazima kila siku waje na uzi kuhusu chadema tu, gosh!! Wengine hata spelling hawajui lkn chadema ipo midomoni mwao kutwa kucha.

No offence hii ni perception ya jamii ya watanzania kuanzia mama yetu shuka chini hadi kwa machawa wa level za chini kbs kama hapa nilipo cholesamvula.
 
Tunapoandika humu kwamba hela za ccm zinaliwa kibwege, muwe mnaelewa.

Kuna kiongozi wao mmoja kakusanya Wahuni na kuwaita wanaCHADEMA ili ajipigie hela za bure, katika aliowakusanya hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, achilia mbali kuwa mfuasi tu.

View attachment 3118232

Ushahidi wa Hoja hii ni kadi za Makaratasi walizokabidhi vijana hao Mamluki kwa viongozi wa CCM, hizo kadi hazipo CHADEMA, hiki ndio Chama cha kwanza Tanzania kusajili Wanachama Kidigital, Walishatoka kwenye Makaratasi ya Mgololo kitambo sana, Mnaikumbuka CHADEMA Digital? hakuna mwanaCHADEMA mwenye kadi ya karatasi, Wazee wa CCM mnaibiwa kijinga sana.

Kwenye Msimu huu wa uchaguzi CCM itaibiwa sana na Wajanja, yaani juzi tu kazomewa Masauni hapo kwenye Mazishi ya Ally Kibao, eti leo Wanachadema wahamie CCM ,Thubutu! Wadanganyeni wajinga wenzenu .

Soma Pia: Wanachama 381 wa CHADEMA Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za CHADEMA kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
hamna sera watu hawawaelewi chadema ndiyo maana wanawahama we endelea kubaki huko pekeyako wenye akili washaona CHADEMAA hakuna jiya mnapigwa tu na MBOWE watu wanahama acha kupotosha umma kuwa hawakuwahi kuwa chadema hizo kadi walizitoa wapi hata kama ni za makaratasi?
 
andiko refuuu la kijinga sijui kwa faida ya nani sasa wala hujaeleweka
 
Haya
 
CHADEMA itaendelea kuwa chama cha upinzani milele maana hawajitambui hawatangazi sera wanakalia majungu tu
 
Mkuu, umenena vyema. Kama upo chama tawala na unamatarajio ya kupata nafasi za ulaji lakini inashindikana basi inakubidi uhamie CHADEMA, ukiwa huko piga kazi kwa nguvu na maarifa yako yote, ukikosoa uthaifu wa chama tawala, nakuhakikishia ndani ya muda mfupi utapata ulaji ndani ya system,na hivyo kuondolewa rasmi Chadema.
 
andiko refuuu la kijinga sijui kwa faida ya nani sasa wala hujaeleweka

Linaeleweka kwa smart people, we minion kua kwanza uache kuvuja kamasi, ukiona hivyo ujue sio level yako tafuta nyuzi zinazokufit. Sio lazima muelewe wote ndo maana hata darasani kuna wa mwisho lakini anapata Oxygen kama wenzake tu
 
Hawadanganywi, bali wanajidanganya.

Ni sehemu ya mikakati yao kuonyesha umma kwamba kuna makamanda wanageuka mboga mboga.

Ukikosa uhalisia unaigiza, na ndicho wanachofanya.

Hii ni michezo ya kaole.
 
Tunapoandika humu kwamba hela za ccm zinaliwa kibwege, muwe mnaelewa.

Kuna kiongozi wao mmoja kakusanya Wahuni na kuwaita wanaCHADEMA ili ajipigie hela za bure, katika aliowakusanya hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, achilia mbali kuwa mfuasi tu.

View attachment 3118232

Ushahidi wa Hoja hii ni kadi za Makaratasi walizokabidhi vijana hao Mamluki kwa viongozi wa CCM, hizo kadi hazipo CHADEMA, hiki ndio Chama cha kwanza Tanzania kusajili Wanachama Kidigital, Walishatoka kwenye Makaratasi ya Mgololo kitambo sana, Mnaikumbuka CHADEMA Digital? hakuna mwanaCHADEMA mwenye kadi ya karatasi, Wazee wa CCM mnaibiwa kijinga sana.

Kwenye Msimu huu wa uchaguzi CCM itaibiwa sana na Wajanja, yaani juzi tu kazomewa Masauni hapo kwenye Mazishi ya Ally Kibao, eti leo Wanachadema wahamie CCM ,Thubutu! Wadanganyeni wajinga wenzenu .

Soma Pia: Wanachama 381 wa CHADEMA Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za CHADEMA kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita
Laana ya Ali Kibao
 
Back
Top Bottom