Tanga: Chama cha walimu walilia posho za walimu wastaafu

Tanga: Chama cha walimu walilia posho za walimu wastaafu

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Chama cha Walimu wilayani Pangani mkoani Tanga kimeiomba serikali kulipa malimbikizo ya madeni ya walimu ikiwemo posho za kujikimu, mishahara sambamba na malimbikizo ya madai ya walimu wastaafu.
 
Poleni walimu. Kuna mtu kasema "hayo ni mapungufu ya miaka mingi nyuma sio awamu hii". Kuna mtu anakwepa kuwajibika hapa.
 
Back
Top Bottom