S Sijapewa username bado JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 1,775 Reaction score 2,891 Mar 27, 2025 #1 Chama cha Walimu wilayani Pangani mkoani Tanga kimeiomba serikali kulipa malimbikizo ya madeni ya walimu ikiwemo posho za kujikimu, mishahara sambamba na malimbikizo ya madai ya walimu wastaafu. Your browser is not able to display this video.
Chama cha Walimu wilayani Pangani mkoani Tanga kimeiomba serikali kulipa malimbikizo ya madeni ya walimu ikiwemo posho za kujikimu, mishahara sambamba na malimbikizo ya madai ya walimu wastaafu. Your browser is not able to display this video.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 27, 2025 #2 Pole yao
O Omukisa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,561 Reaction score 3,122 Mar 27, 2025 #3 Poleni walimu. Kuna mtu kasema "hayo ni mapungufu ya miaka mingi nyuma sio awamu hii". Kuna mtu anakwepa kuwajibika hapa.
Poleni walimu. Kuna mtu kasema "hayo ni mapungufu ya miaka mingi nyuma sio awamu hii". Kuna mtu anakwepa kuwajibika hapa.