Tanga: DC aagiza polisi kukomesha ukahaba

Mimi nadhani dc anataka kuwaonea hawa wadada.. mwambieni aache mara moja. Asipoangalia tutamdaka akitoka madarakani kwa kesi za unyanyasaji. Hatushindwi kutafuta vielelezo vya yeye kuwakamata na kuwatumia kwa faida zake kisha kuwaachia kama wafanyavyo polisi kwenye miji mikubwa. Aache mara moja atafungwaaaaa!!!!
 
Naona DC katafuta njia ya kusikika huenda hajasikika muda mrefu
 
Hivi huyo dc anafahamu faida za kuwepo kwa makahaba katika jamii? Makahaba wanafaida sana waachwe tu na huduma zao zitambuliwe
 
Waache watu wakulane shida iko wapi au nao genye zimewabana wanaona wanaifadi?
Machinga wanafukuzwa wanachafua miji sasa na hao dada poa wanachafua miji kwa kumwaga sperms au ndomu?
Waache hizo aisee!!
 
anataka ukahaba ukimeshwe? sishabikii ukahaba na siungi mkono ukahaba lakini amesahau kuwa hao anaowaona mitaani ni mahakaba masikini na madhara yao ni madogo. kuna makahaba huku maofisini, hao wanawake wanaojifanya wasafi na wasomi, wanauza miili yao kuliko hata hao. ukiona mtu anajitembeza barabarani ni kahaba masikini hana namna.

hao hao wanawake wanaojifanya wazuri wa mjini na wasomi, ukishika namba yake amesevu majina rundi ya wanaume wa kuwapanga. A1, A2, A3............, B7..........Z....., mara fundi nguo, fundi bomba, fundi gereji, fundi ujenzi, bajaj, boda, taxi kariakoo, taxi sinza, taxi ubungo......, fundi computer, fundi simu....etc. hao mafundi wote wana professions zao hata sio mafundi wala nini. zamani zangu za ujinga, niliwahi fumania simu ya kibenten mmoja, hadi stim ziliisha. ni hatari. wanaume tunapanga, ukiona hasa weekend anakwambia atafua nguo hadi saa kumi na mbili, jua mwingine amemwambia atafua hadi saa kumi, mwingine hadi saa tisa, mwingine hadi saa saba, mwingine hadi saanne, na wanajua kuchunga mda hao, muda ukifika anakwambia anawahi nyumbani mamake anamuhitaji kumbe anawahi foleni.
 
Nadhani kuna changamoto nyingi zinazowakabili wakazi wa Tanga. Hii si priority. Na log off
 
Nadhani kuna changamoto nyingi zinazowakabili wakazi wa Tanga. Hii si priority. Na log off
ukahaba ni kitu kibaya, lkn DC kama ni mwanaume awe wa kwanza kurusha jiwe kama hajawahi kuwanunua maishani mwake.
 
Akisha wahamisha hao Dada poa ,wale Domo zege wasiojua kutingoza atawapa Nini wakishikwa na hamu ya ku duu?
Nani alikudanganya siku hizi unaweza kupata Mbususu kirahisi rahis kwa saundi?
 
mh!!!! hao wanawake wa tanga ndo masupastaa wa dizaini zote za ngono. Hakuna ngono wasioiweza. Hawachagui aina ya ngono, kwao ngono ni kama msosi.
 
Ndoa yangu imeimarika baada ya kuweka dozi kwa madada poa. Huwa naenda kuosha rungu kila wiki mara mbili. Hata bajeti nilishaweka kabisa sh 40 elf kwa mwezi kiroho safi. Ukimwi ukija ntameza dawa na kinga ikiporomoka zaid nakufa. No tatz
Duuuh..ila watu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu kasahau kuwa ukahaba ni moja ya biashara za kale zaidi duniani, hata Yesu na Mwamedi walizikuta na kuziacha.
 
Idara za serikali Tanga zinanuka ngono. Imefikia hatua kuna mteule mmoja alipandishwa cheo kua mkurugenzi,aliondoka na mtumishi mwenzake ambaye alikua akifanya nae kazi ofisi moja Tanga jiji.
Alianza kumtenganisha dada huyo na mumewe na akafanikiwa. Watumishi hao waliokua ofisi moja walitia fora kwani ngoma ilikua inajulikana hadi kwa Afisa Elimu Sekondari,kwa mkurugenzi na tume ya utumishi wa walimu. Ila hakuna hatua zilizochukuliwa zaidi ya mtu huyo kupata uteuzi.
Ngono Tanga jiji kwa watumishi nimashindano yasiyokoma. Mkurugenzi aliyepumzishwa ndio alikua kiranja wao. Yule mzee bora ameondolewa,nibingwa wa aina zote za rushwa maana akimtaka mke wa mtu mumewe kazi ilikua mashakani
 
DC ataondoka yeye na ukahaba atauacha unaendelea kama kawaida
 
Kwa namna utelezi ulivyokuwa wa shida wajiandae kupokea kesi za kufanya mapenzi na Mbuzi
 
hii biashara si itengenezewe utaratibu tupate kodi huko..........sijui TUNAKWAMA wapi........biashara ipo na inafanyika...wateja kibao...why tusikusanye KODI........??????
 
Hii biashara ipo tangu enzi za Yesu, kuna mambo mengine huwa yanaachwa yalivyo maana ni part ya natural order.
Huwezi kuacha tuu hivi hivi,maana yake ni kwamba itageuka kuwa ni utaratibu.Hii inatakiwa iendelee kukemewa kwa nguvu zote
 
Manispaa ya TANGA enzi zile walitenga maeneo ya kufanyia hiyo biashara na ilikua haikwazi yoyote ambae hahusiki.
Kulikua na barabara ya kwanza karibu na reli, barabara ya nane kwa barabara ya Makoko na makao makuu ilikua Ni Mabawa nyuma ya wanapochomewa wahindi.
Huu utaratibu ungeendelezwa Wala mkuu asingejua kwamba Kuna kahaba TANGA. Ni wahitaji tu ndio walikua wanajua pakupatia huduma hii nyeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…