Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha leo Tarehe 27 Novemba 2024 Ameongoza Wananchi wa Wilaya ya Tanga kwenye zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Central kituo cha Raskazone.