Ulipewa hadhi ya jiji kwa sababu Tanga ukisomewa dua na masheikh lazima ufanikiwe. Na ukisonewa Ahalal Badr lazima ikupate!Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.
Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.
Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.
Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.
Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
Duuh hili nalo nenoKwani kuchangamka kwa watu ni sifa ya kuwa jiji? Kisiwa cha ukerewe ( ukara )watu wamechangamka sana lkn hata wilaya hawajapewa
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.
Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.
Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.
Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.
Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
Nyinyi ndio mliotuharibia jiji letu hapa Dar, kisa hamna magari ndio usiheshimu taa?!! Huo ndio ustaarabu sasa.Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.