Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.

Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.

Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.

Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.

Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg
Tanga ni mji mkongwe sana lenye watu wastaarabu ambao hufuata sheria bila shuruti
 
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.

Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.

Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.

Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.

Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg

Kwani ulitegemea kuona nini?
 
Watanzania nawashangaa Sana hii hoja ya nyumba za udongo tanga mmeishikilia Sana, hivi zile nyumba za udongo zilizopo pale mianzini arusha kama unaenda ilboru na ziko jirani kabisa na mjini mbona hamziongelei na ni nyingi Sana wakati leo hii nyumba za udongo zilizopo tanga jirani na mji ni chache sana
 
Wewe muongo Tanga hakuna traffic lights. Nasikia ndio wana mpango wa kuziweka. Jiji ni pamoja na wingi wa watu. Na ndio sababu pekee ya msingi ya Dar kuitwa jiji.
Mbona traffic light tayar zimeshawekwa mzee,nimetoka uko mwezi uliopita tu
 
Tanga beach resort road
IMG_20181110_124614.jpeg
IMG_20181110_124442.jpeg
IMG_20181110_124335.jpeg
IMG_20181110_124452.jpeg
IMG_20181110_124051.jpeg
IMG_20181110_123820.jpeg
IMG_20181110_123736.jpeg
IMG_20181110_123731.jpeg
IMG_20181110_123602.jpeg
IMG_20181110_123142.jpeg
IMG_20181110_125509.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20181110_124614.jpeg
    IMG_20181110_124614.jpeg
    37.3 KB · Views: 28
Tanga Bado sana, Uchafu Mtupu. Aliyeupa mji huu hadhi ya Jiji alikuwa Amelewa au alishawishiwa na kimada wa Kitanga!!? Hii ni Aibu kwa Nchi.
 
Mji upi ambao ungependa upewe hadhi ya jiji badala ya tanga, by the way nitajie vigezo vya sehemu kupewa hadhi ya jiji(visiwe vigezo unavyovitaka wewe) halafu uniambie tanga imekosa vigezo gani Kati ya hivyo
 
Back
Top Bottom