Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Hakuna jiji liliopangika kama Tanga.Mleta uzi,labda aliishia nje ya mji,ndio akafikiri ndio Tanga mjini,hiyo picha imepigwa ni eneo linaitwa Tangamano,hapo ni eneo la viwanja vya michezo,ni eneo kubwa sana la wazi,sio eneo la kujengwa maghorofa.Kwa hiyo inaonesha mleta uzi ndio mshamba,toka lini eneo la wazi kukajengwa nyumba,na Tanga mjini hakuna nyumba za udongo,hill eneo linatizamana na nyumba za ghorofa.
 
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.

Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.

Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.

Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.

Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg
Railway hapo Njia panda ya Mkwakwan nmepamis kwel home
 
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.

Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.

Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.

Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.

Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg

Wewe muongo Tanga hakuna traffic lights. Nasikia ndio wana mpango wa kuziweka. Jiji ni pamoja na wingi wa watu. Na ndio sababu pekee ya msingi ya Dar kuitwa jiji.
 
tanga kunani palee mbona kila kitu kimekufa*2 wagosi wakaya

1. WAPUNGUZE USHIRIKINA
2.WAACHE KUENDEKEZA MAPENZI.
 
Nasikia huo mji una wakazi wanaoonekana kwa macho na wasioonekana ama wenye uwezo wa kujigeuzi kitu chochote kama kifuu cha nazi , paka n.k
Acha uwongo mkuu! Hizo stori za kusadikika tangu miaka hiyo! Mbona Tanga iko poa tu
 
Huo mji wa mamwinyi huo , kuna siku gari yangu iliharibika , fundi alikataa kuja kuliangalia mpaka nitafute gari ya kuvuta , nimpelekee umbali wa mita 500 tu , yaani mahali ambapo hapana umbali wowote ule ! Nilishangaa sana ! Sikuwa na ujanja ilibidi nipeleke gari alipo .
 
Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.
.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg

Kwahivyo kuvunja sheria za usalama barabarani ndo ujanja? Mwalimu wako alikuwa na kazi kubwa darasani.
 
Tanga raha, niunganisheni na mtoto wa kitanga nionje mambo ya huko
 
Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.
Moja wapo ya vitu Ambavyo Africa tumekuwa tunakwama sana. Hapo inaonesha mtoa mada jinsi usivyo na Nidhamu (Discipline)
Discipline sio ishu ya kusalimia, inabidi tuwe na nidhamu kila mahali. Nadhani huna exposure na Kiwango chako cha Imani ni kidogo.
Kama maelekezo yanasema Red = stop, green = go kwanini Kwenye red Utembee??? Nimepata exposure kidogo ya kwenda ughaibuni mara kadhaa, aisee sikufichi, jamaa ni watu wa utaratibu sana, Unapanda Treni/ City bus unakuta mtu ameshikilia kikopo chake cha Ice-cream na Kifuko cha sweet popcorn japo vimeisha, ila anatafuta wapi atapata Dust bin, hiyo ni discipline ya hali ya juu sana.

Sio pikipiki tu mkuu, hata waenda kwa miguu(pedestrian) havuki barabara kama hajaruhusiwa na miongozo ya barabarani iliyowekwa.

Hayo mengine, sina shida nayo ila hapo kwa pikipiki kuvuka taa isnt right.
 
Kwa taarifa yako tu Tanzania hakuna mkoa uliofikia hadhi ya kuitwa jiji,
 
Maisha ya kule simple sana , starehe ziko chini uuni na mambo ya ajabu hakuna mixer vigodoro baikoko kanga moko tena vigodoro vya mabanda ya papa ni amsha popo , mjini hadi kwa 200 panafikika.
Hatari...
 
Back
Top Bottom