Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

nafikiri kabla ya kuponda hadhi ya jiji la tanga tuanze na vigezo vinavoangaliwa kupata majiji hapa tanzania! then turudi kwa tanga kama linastahili kuitwa jiji au la!
 
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.

Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.

Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.

Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.

Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg
Mi nahisi kwenu itakua dar
 
Tanga ile ya Zamani yenye viwanda inarudi...Jiji liko poa sana..natoa ofa Kwa mwana JF yeyote ambaye hajawahi kufika Tanga namkaribisha Kwa mikono miwili..ila vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Mji gani Tanzania usiokuwa na umasikini? Tanzania ni nchi masikini sana duniani
Hiyo ni lugha ya kuombea misaada na kuandika maproposal.
Kama ni maskini hivyo mbona wanejaa huku na hawaondoki?
 
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.

Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.

Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.

Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.

Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg
FaizaFoxy lazima aje na povu la kutosha humu kama bado hajaja nalo!
 
Hivi dodoma bado haijawa na hadh ya kuitwa jiji tu
 
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.

Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.

Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.

Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.

Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg
Unafahamu sifa/vigezo vya eneo kuwa Jiji?
Tiririka...
 
Hakuna jiji liliopangika kama Tanga.Mleta uzi,labda aliishia nje ya mji,ndio akafikiri ndio Tanga mjini,hiyo picha imepigwa ni eneo linaitwa Tangamano,hapo ni eneo la viwanja vya michezo,ni eneo kubwa sana la wazi,sio eneo la kujengwa maghorofa.Kwa hiyo inaonesha mleta uzi ndio mshamba,toka lini eneo la wazi kukajengwa nyumba,na Tanga mjini hakuna nyumba za udongo,hill eneo linatizamana na nyumba za ghorofa.
Povu la mkazi wa tanga
 
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.

Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.

Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.

Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.

Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg
Yani ushamba ulouona na kuzubaa ni kwa kua dereva anasubiri taa ya kijani? Basi bora ushamba kuliko huo umjini. Yani mtu kufata utaratibu wa kiusalama ni ushamba? Mijitu ya kuhamia Dar kweli ni shida
 
Back
Top Bottom