Tyrone mofekeng
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 694
- 613
Tanzania nzima imejaa umaskini.Hata kama ni masikini hawajawahi kukuomba hela ya matumizi
Tanzania nzima imejaa umaskini.Hata kama ni masikini hawajawahi kukuomba hela ya matumizi
We ina maana ujui ata maana ya taa traffic light?sasa kama unataka kuwahi si uruke tuNimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.
Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.
Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.
Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.
Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.![]()
Weeee zimewekwa Lini?Traffic light kwass zpo Mkuu
Kwa lin kuwekwa cjui ila juz kat nilkuwa huko nkazionaWeeee zimewekwa Lini?
Kwaiyo mzee,,, town sasa hivi ni mwendo wa Traffic LightKwa lin kuwekwa cjui ila juz kat nilkuwa huko nkaziona
Ukiishi dar kila mkoa utakapokwenda utawaona wenyeji ni washamba. Hebu nenda zenji mdau tanga inasubiri yani.
Acha uongoKatika historia Tanga ni mji wa pili kuitwa jiji baadavya Dar.
Dah! Umesoma kweli, ndiyo maana nafurahia sana Kanda ya Ziwa maana kuna visiwa vya uvuvi male ziwani vimechangamka balaa yaani utashangaa kama mji umehamia huko. Watu karibia wote ni wajanja halafu wanapiga gambe ya kura mtu. Asikwambie mtu nadhani visitation vya uvuvi Kanda ya Ziwa wanaongoza nchini kwa kupiga gambe (bia) huku wengi wakiwa kutoka Town kama Mwanza, Musoma na Bukoba.Kwani kuchangamka kwa watu ni sifa ya kuwa jiji? Kisiwa cha ukerewe ( ukara )watu wamechangamka sana lkn hata wilaya hawajapewa
Mkuu kwan mkoa kuwa na wadada wanao juwa mapenzi ndo kuwa jiji hahaha achana na bongo nyanyaEbu akutafute umpatie mwana dada wa Tanga ampe mapenzi urojourojo na kiuno cha Tanga hadi atamke maaaaa.. Tanga ndio lijiji... Haaa
zimeekwa pale reli na kule toyotaKwaiyo mzee,,, town sasa hivi ni mwendo wa Traffic Light
TRA kununulia bombadia na kujengea reli ya kwenda chato kwa nusu saaNimelazimika kuwakumbuka wabunge woote wa kigoma nikaona wasivyowatendea haki wapiga kura wao.
Hata hiyo manispas sijui hela wanapeleka wapi.
Ni wote ambao kwa asili si watu wa Dar ila kwa sasa wanajifanya kama wao ndio watu wa Dar. Na hawataki asili Yao ijulikaneWashamba ni kama watu gan hapa Dar, mnapozungumza habari za mikoani huko hua sielew kabisa