madam boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 701
- 744
HaiyaJiji lolote walikostarabika utasubiri mataa. Hata kama upo mwenyewe
HaiyaJiji lolote walikostarabika utasubiri mataa. Hata kama upo mwenyewe
Kanishangaza sana huyu jamaa. Anaona kukiuka sheria za barabarani ni sifa[emoji35] [emoji35]Nyinyi ndio mliotuharibia jiji letu hapa Dar, kisa hamna magari ndio usiheshimu taa?!! Huo ndio ustaarabu sasa.
Mkuu umechanganya na kule kwa massageKiukweli Tanga bado sana. Kuna siku tulikuwa na shughuli ya mdogo wangu alikuwa anaoa. Sasa saloni tu ya kunyoa ni za kawaida sana. Ilibidi bwana harusi anyoe halafu arudi home kuoga na kuvaa. Nikamuuliza kwa nini usingefanya huduma zote huko tukukutane kanisani? Akasema salon haina huduma ya kuoga.
Karibu Kigoma mkuu.......Kuna miji ukisikia sifa zake kabla ya kufika!
Fika sasa ndo utachoooka.
Ndo nimeingia Kigoma. Nimeshangaaa sifazote kumbe porini kuanzia airport mpaka ka town kenyewe.
Mara oo sanaki ule migebuka. Nimekula ni kama kibua kabisaaa.
Sifa zingine waachie wahusika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna jiji liliopangika kama Tanga.Mleta uzi,labda aliishia nje ya mji,ndio akafikiri ndio Tanga mjini,hiyo picha imepigwa ni eneo linaitwa Tangamano,hapo ni eneo la viwanja vya michezo,ni eneo kubwa sana la wazi,sio eneo la kujengwa maghorofa.Kwa hiyo inaonesha mleta uzi ndio mshamba,toka lini eneo la wazi kukajengwa nyumba,na Tanga mjini hakuna nyumba za udongo,hill eneo linatizamana na nyumba za ghorofa.
Mwambie huyo Mkuu, atuachie Tanga yetuEbu akutafute umpatie mwana dada wa Tanga ampe mapenzi urojourojo na kiuno cha Tanga hadi atamke maaaaa.. Tanga ndio lijiji... Haaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani kuchangamka kwa watu ni sifa ya kuwa jiji? Kisiwa cha ukerewe ( ukara )watu wamechangamka sana lkn hata wilaya hawajapewa
Nakusalimia tu[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]Katika historia Tanga ni mji wa pili kuitwa Municipal baadavya Dar.
Mkuu kwani wewe kwenu ni wapi, naomba uwe muwazi ili nasi tukujadiliPovu la nini kaka? Kwa kifupi mji wa Tanga umejaa umasikini wa kutisha
Ww kwenu wapi,tuanzie hapoPovu la nini kaka? Kwa kifupi mji wa Tanga umejaa umasikini wa kutisha
Mkuu umetembea tanga tu inaonekana! tembea ktk mikoa mingine pia. Miji ya Europe naona ni kwenye tv unaona acha kutuzuga!Town center ya Tanga ni bora kuliko mkoa wowote hapa nchini iko kama ile miji ya Europe. Huko msambweni na makorora achana nako.Angalia ofisi ya Rc na mitaa jirani kama raskazone na jirani na hapo ilivyopangwa kwa ufundi mkubwa
Siyo sababu ya kupewa jiji! Kilwa kisiwani, Kilwa Kivije, Bagamoyo na Uvinza ni miji mikongwe lakini mingine haijapewa hata hadhi ya mamlaka ya mji mdogoKatika historia Tanga ni mji wa pili kuitwa Municipal baadavya Dar.
Atuachie mji wetu.Waachie wenye Tanga yao.
Wewe kwenu wapi kwanza?
Kuna warundi tele wamezaliwa tanga,mkimbizi wwUsilete hadithi za kikoloni hapa, nimezaliwa tanga, Ila mji wangu hauna hadhi ya kuwa Jiji
Mji gani Tanzania usiokuwa na umasikini? Tanzania ni nchi masikini sana duniani