Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

hujaguswa mtima na watanga wewe!ukijichanganya viunoni mwao utapaita new york ***** watanga na uchawi wao wa mapenzi!
 
Hivi ushamba maana yake ni hasa.Na ni nani mwenye dhamana au mamlaka ya ku-decide kwamba huyu ni mshamba na huyu sio and using what criteria.Na hizo criteria ni nani kaziweka.Je kama hiyo criteria sio sahihi,they are only meant to mislead,which is infact the case.

Ni makosa kudhani kwamba gorofa ni maendeleo na kwamba eti mji mkubwa ndio maendeleo.Laiti mngejua hidden agenda iliyoyoko kwenye urbanization na majumba marefu msingeona ni maendeleo.

Nimalizie kwa kusema wewe unayeona majumba marefu na miji mikubwa ndio maendeleo ndio mshamba,you have been misled.Laiti ungejua anayeishi kwenye nyumba ya matope na majani is healthier, kuliko wewe unayebugia masumu yaliyoko kwenye marangi,matiles,magypsum,mabati ya kisasa nk.kwenye hiyo nyumba yako unayoiita eti ya kisasa, kumbe ndio mauti yako! Pole.
Mzee baba
kwenye majengo marefu kuna hidden agenda gani ?

Upendo ni tiba.
 
Kuna sababu kadhaa zinazopelekea mji kuitwa jiji ,nitazitaja baadhi
1)Idadi ya watu inapokua kubwa angalau million2
2)fursa za biashara
3)miundo mbinu mizuri ya usafiri kama vile barabara na reli n.k
4)fursa za kielimu
5)ukuaji wa viwanda n.k
6)huduma za kibank na kiuchumi
Pamoja na upatikanaji wa huduma za kijamii. Hizi ni baadhi tu ya sifa ya mji kupanda hadhi na kuitwa jiji na kutokana na sifa hizi Tanga imekidhi vigezo vya kuitwa jiji.
hiyo namba moja si kweli,idadi ya watu katika jiji la Tanga haijafika hata laki 5,na kiujumla kwa Tz nzima ni jiji la Dar pekee ndo lina wakazi zaidi ya 2M,majiji mengine yote yana wakazi chini ya 1M.
 
hiyo namba moja si kweli,idadi ya watu katika jiji la Tanga haijafika hata laki 5,na kiujumla kwa Tz nzima ni jiji la Dar pekee ndo lina wakazi zaidi ya 2M,majiji mengine yote yana wakazi chini ya 1M.
Mkuu takwimu za sensa ya mwaka 2012
Tanga ilikua na wakazi milion2 na 45
Katika wilaya zake 8 na Tanga jiji lilikua na wakazi 273,332

Arusha jiji 416,442 na wakazi million 1,694
 
NGWILIZI akiwa TAMISEMI alipush mkoa anapotoka uwe jiji. Nashangaa Nyerere alishindwa nn kujenga angalau runway ya lami Musoma Airport
 
Town center ya Tanga ni bora kuliko mkoa wowote hapa nchini iko kama ile miji ya Europe. Huko msambweni na makorora achana nako.Angalia ofisi ya Rc na mitaa jirani kama raskazone na jirani na hapo ilivyopangwa kwa ufundi mkubwa
Nilikuwa Tanga miezi ilopita. Ukweli ule mji nimeupenda, hauna fujo Halafu umepangiliwa na umepangilika. nitaenda tena tu
 
Ukiishi dar kila mkoa utakapokwenda utawaona wenyeji ni washamba. Hebu nenda zenji mdau tanga inasubiri yani.

Ila nimetembea karibia sehemu kubwa ya Tanzania ila asee Mwanza watu washamba sana kule dah....mara nyingi nilikua nikienda natumia sana usafiri private sasa safari hii kuna time nililazimika kutumia public transport kwa kiasi kikubwa. Asee tuweni tu wawazi wasukuma washamba sijaona nchi hii loh. Mwisho wa siku ikabidi nifanye conclusion kumbe ndio maana "yule jamaa" yuko vle.
 
Back
Top Bottom