Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Town center ya Tanga ni bora kuliko mkoa wowote hapa nchini iko kama ile miji ya Europe. Huko msambweni na makorora achana nako.Angalia ofisi ya Rc na mitaa jirani kama raskazone na jirani na hapo ilivyopangwa kwa ufundi mkubwa
Raskazone ni pazuri sana.
 
Kuna sababu kadhaa zinazopelekea mji kuitwa jiji ,nitazitaja baadhi
1)Idadi ya watu inapokua kubwa angalau million2
2)fursa za biashara
3)miundo mbinu mizuri ya usafiri kama vile barabara na reli n.k
4)fursa za kielimu
5)ukuaji wa viwanda n.k
6)huduma za kibank na kiuchumi
Pamoja na upatikanaji wa huduma za kijamii. Hizi ni baadhi tu ya sifa ya mji kupanda hadhi na kuitwa jiji na kutokana na sifa hizi Tanga imekidhi vigezo vya kuitwa jiji.
hapo dodoma ina kila kitu mbn kwa sifa ulizozitaja
 
Mkuu takwimu za sensa ya mwaka 2012
Tanga ilikua na wakazi milion2 na 45
Katika wilaya zake 8 na Tanga jiji lilikua na wakazi 273,332

Arusha jiji 416,442 na wakazi million 1,694
ni kweli sensa ya 2012 Mkoa mzima wa Tanga ulikuwa na wakazi 2.4M,lkn Jiji la Tanga lilikuwa na wakazi laki 2 na elfu sabini(270,000) tu,na hapa tunaongelea sifa za mji kupewa hadhi ya jiji,sio Mkoa.ambayo kwa kigezo cha idadi ya watu sensa ya 2012 hakuna jiji la Tz lenye wakazi zaidi ya 1M,isipokuwa jiji la Dar pekee.
 
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.

Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.

Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.

Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.

Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg
Ni kweli inashangaza sana tena sana kusikia eti Tanga imepewa hadhi ya jiji lkn Dodoma,Morogoro,Moshi haijapewa hadhi hyo ya kuwa jiji.kwa vigezo vyote vinavyotakiwa mji wa Tanga umezidiwa mbali sana na mji wa Dodoma
 
Mkuu nilikwenda Magu nilishangaa Utafikiri uko Chalinze.
 
Waulize walioupa hadhi ya jiji ilikuwaje!Na pia ushauri wangu ni kuwa endelea kukaa angalau mwezi mmoja kama haujaja hapa JF ukiwaomba mods waufute uzi wako kwa madai kuwa walikuwa sahihi kuupa hadhi ya jiji,wee vipi bana...,Unafika Tanga unajifungia ndani halafu unaanza kulalamika?
huyu wa kumsomea Albadir tuu...

Ina onyesha haijui kama jiji la Tanga
 
Kiukweli Tanga bado sana. Kuna siku tulikuwa na shughuli ya mdogo wangu alikuwa anaoa. Sasa saloni tu ya kunyoa ni za kawaida sana. Ilibidi bwana harusi anyoe halafu arudi home kuoga na kuvaa. Nikamuuliza kwa nini usingefanya huduma zote huko tukukutane kanisani? Akasema salon haina huduma ya kuoga.
Safi sana ngoja nichukue fursa hii
 
Ni kweli inashangaza sana tena sana kusikia eti Tanga imepewa hadhi ya jiji lkn Dodoma,Morogoro,Moshi haijapewa hadhi hyo ya kuwa jiji.kwa vigezo vyote vinavyotakiwa mji wa Tanga umezidiwa mbali sana na mji wa Dodoma
Jna lako na ulicho andika n tofaut kabsa ila km unahic Tanga haina kgezo cha kuitwa jiji itoe zen wape Dodoma,Moshi na Morogoro
 
Back
Top Bottom