Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,460
Traffic rights ndiyo nini mkuu??Tanga hakuna traffic rights? una uhakika na hoja yako?
Traffic rights ndiyo nini mkuu??Tanga hakuna traffic rights? una uhakika na hoja yako?
Sorry and thanks traffic lights unajua tena mkuu hii third language usipokomaa nayo haikawii kutereza.Traffic rights ndiyo nini mkuu??
We we we we[emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] Mi nimesoma na nimefauluNajaribu ku summarize dondoo za mtoa mada kua tanga haipaswi kua jiji.
1.Mji mdogo
2.watu wamezubaa
3.wanajali taa za barabarani
4.hawajali mda
5.magorofa yakuhesabika.
Wakuu mwenye uhakika kama mtoa mada alifaulu somo la uraia au maarifa ya jamii anyooshe kidole.
Pengne kweli tanga haipaswi kua jiji, naombeni mnitajie point ya msingi kupinga tanga sio jiji.
Belv me huyu jamaa amesema alikaa tanga kwa siku tatu, amin usiamin huyu alienda kutoa posa, posa imekataliwa na mahali imeenda. Anakuja kulalamika humu, chezea wasambaa na wadigo wewe.
Atuachie mji wetu.
Wenyewe tumeridhika nao.
Auweke wa kwake tuuone.
Ndo mana yake.Watu na miji Yao
Ndo mana yake.
Mkataa kwao mtumwa.
Tunafanya vurugu zote mjini....ila tukifanikiwa tunaenda kupeleka matunda nyumbaniiiiiiiiiiiiii.
Kila mtu afe na kwao babu weeeee.....!!!!
Naupenda mkoa wangu, kama ninavyokipenda kipapa changu.
Tanga khs elimu ni kweli ila mengine ntakusahihisha kwa nnavyoona Mimi.Kati ya jamii zipo karibu sana na waasia ni huku ndio maana huku ni wafanyabiashara wengi wanatokea huku.Vyombo vya moto vya usafiri madereva wengi na mafundi watokea huku.Elimu sio sana kama uhayani na maisha yanaenda.Tanga hamna kitu...ilikuwa inategemea bandar...baada ya bandar ya dsm kuchukua nafas...mji ukafa na hautainuka tena (ukweli Mchungu) why? Kwanza hakuna rasilimali yenyr nguvu ya kuvuta mkusanyiko wa watu Pili Mzunguko mbovu wa biashara kutokana na kuwa kat ya two giant cities Dsm and Arusha...Tatu wakaz wenye kipato hawana asili ya tz na kamwe hawawekez nchin wanachopata wanapeleka kwao...Nne Wakazi wa Tanga hawathamini Elimu
Njoo ukipalilie na utoe magugu suguNa mm nakipenda kipapa chako
Njoo ukipalilie na utoe magugu sugu
Ni hoja dhaifu, kuhusu classic saloni hata hapa Dar ni za kutafuta sio km ziko sehem zote, ungeuliza wenyeji ungepelekwaKiukweli Tanga bado sana. Kuna siku tulikuwa na shughuli ya mdogo wangu alikuwa anaoa. Sasa saloni tu ya kunyoa ni za kawaida sana. Ilibidi bwana harusi anyoe halafu arudi home kuoga na kuvaa. Nikamuuliza kwa nini usingefanya huduma zote huko tukukutane kanisani? Akasema salon haina huduma ya kuoga.