Abuhunna
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 409
- 233
Sio kweli labda sababu hujatembea sana ktk nchi hii, tembelea mikoa mingine majibu utayapataAcha majigambo ndugu,haipendezi kabisa,maskini naye ni mtu kama wewe.
Sio kweli labda sababu hujatembea sana ktk nchi hii, tembelea mikoa mingine majibu utayapataAcha majigambo ndugu,haipendezi kabisa,maskini naye ni mtu kama wewe.
Hakuna mkoa ambao nchi hii sijakanyaga mkuu,kwa hiyo nchi yangu naijua vilivyo!Tena sio mijini tu,hata vijijini.Sio kweli labda sababu hujatembea sana ktk nchi hii, tembelea mikoa mingine majibu utayapata
Huu ni upuuzi wa hali ya juuTanga ndio asili ya Tanganyika
Tanga na Nyika.
Baada ya kuona histori ya Tanganyika inabebwa na Tanga ikabidi itumike nguvu ya ziada kuufifisha mkoa mzima kielimu,kiuchumi,ki siasa na kimefanyika
Kuna kiongozi mmoja alipata kusema "maji yatapanda Malima"
Akimaanisha kuwa maendeleo ya tanga yote yatakwenda bara na tanga kubaki historia tu.
Baada ya reli ya kati ilifuata reli ya tanga moshi hadi arusha.
Hivyo kuipa jiji ni kujikosha kwa yaliyofanywa.
Endelea kuwa mtoto mdogo na usijifunze.Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.
Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.
Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.
Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.
Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.![]()
Sasa mbona hapo ulipopiga picha si mjini kabisa, pembezoni mwa sehemu ya mjini kwenye jiji hilo.Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.
Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.
Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.
Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.
Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.![]()
Povu la nini kaka? Kwa kifupi mji wa Tanga umejaa umasikini wa kutisha
Makorora na kongowe Dar kuna tofauti gani?Nimekaa makorora sana, unacho sema labda ni kweli ila vigeza vya kuwa jiji labda mimi na wewe hatu vijui vizuri
Waachie wenye Tanga yao.
Wewe kwenu wapi kwanza?
Tanga ustarabu ndiyo kitu cha muhimu, huyo keshazoea barabara za kienyeji huko. Huo ujinga wa kutoheshimu taa tumezika wengi huko Dar, mwache aulete Tanga wavaane na askari karibu muda wote wapo kwenye mataa. Au aje agongwe na treniNyinyi ndio mliotuharibia jiji letu hapa Dar, kisa hamna magari ndio usiheshimu taa?!! Huo ndio ustaarabu sasa.
Mkuu ww Tanga huijui ww,tuulize wenye jiji tukwambie. Hakuna mji hapa Tz uliokuwa na mpangilio mzuri kama Tanga
Saluni hizo za kunyoa na kuoshwa zimejaa kibao, msitafute kisingizio mlipenda tu za vitongaKiukweli Tanga bado sana. Kuna siku tulikuwa na shughuli ya mdogo wangu alikuwa anaoa. Sasa saloni tu ya kunyoa ni za kawaida sana. Ilibidi bwana harusi anyoe halafu arudi home kuoga na kuvaa. Nikamuuliza kwa nini usingefanya huduma zote huko tukukutane kanisani? Akasema salon haina huduma ya kuoga.
Huyu kaenda Handeni halafu anaanzisha uzi anasema ndio Tanga. Njoo Tanga ya ukweli uonje vionjo vyake kama utarudi kwenu.
Mababu zako walilowea huku mpaka sasa hawstaki kurudi bara
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.
Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.
Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.
Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.
Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.![]()
Tuacha mzaha Tanga haikustahili kua hero ya manispaa ya Moshi kuliko Tanga huu ni ukwel japo mchnguNyinyi ndio mliotuharibia jiji letu hapa Dar, kisa hamna magari ndio usiheshimu taa?!! Huo ndio ustaarabu sasa.