Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.

Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.

Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.

Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.

Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg
Tanga ikifka usiku ndo inakiz viwango vya kuitwa jiji maana shughuli za ziada zinaongezekaga
 
huyo anayesema miji ya wengine ni ya kishamba akakae ulaya awaachie wenye mji na ushamba wao full stop
 
Umetembea SOKO LA NGAMIANI unasema umetembea TANGA nzima,,
 
Back
Top Bottom