Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Mount usambara hotel
Screenshot_20181028-140507.jpeg
 
Wanasema ni miongoni mwa miji yenye mipangilio mzuri wa makazi na miundominu, mimi sijawahi kufika lakini.
Kwenye mpangilio pako powa sana mkuu ila hapajachangamka kabisa yaani kavile hapaishi watu labda siku ya idd ndo panachangamka kiaina
 
Hivi ushamba maana yake ni hasa.Na ni nani mwenye dhamana au mamlaka ya ku-decide kwamba huyu/kitu hiki ni cha kishamba na huyu/hiki sio and using what criteria.Na hizo criteria ni nani kaziweka?Je kama hizo criteria sio sahihi,they are only meant to mislead,which is infact the case?

Ni makosa kudhani kwamba gorofa/mavazi/barabara za lami/magari etc. ni maendeleo na kwamba eti mji mkubwa specifically for our case in question ni maendeleo.Laiti ungejua hidden agenda iliyoyoko kwenye urbanization na majumba marefu usingeona ni maendeleo.

Nimalizie kwa kusema wewe unayeona majumba marefu na miji mikubwa ndio maendeleo, ndio mshamba,you have been misled au kwa kiswahili cha mtaani umeingizwa mkenge.Laiti ungejua anayeishi kwenye nyumba ya matope na majani is healthier, kuliko wewe unayebugia masumu yaliyoko kwenye matiles,magypsum,mabati ya kisasa,marangi nk.kwenye hiyo nyumba yako, unayoiita eti ya kisasa, kumbe ndio mauti yako! Pole sana.Kweli usilolijua ni usiku wa giza.
Op
 
Nacho kipenda Tanga mpangilio wa mji, nyumba shehe , Mganga wa kienyeji mwisho nyumba shoga!
 
Hivi kufuata sheria za barabarani pia ushamba...!!!!
😡😡😡😡😡😡
 
Hahaha eti nyuma ya udongo ni healthier ... Umevuta ugoro au
Ni sawa kabisa,as long as the house is kept clean.Kumbuka kwamba vitu vingi tunavyotumia kwenye finishing vina toxic chemicals, ambazo zinatuathiri vibaya.This includes marumaru na rangi!Hata mabati ya Aluminium yanatoa Aluminium slowly, which finds its way into water systems.Haya yaliyopakwa rangi ndio mabaya zaidi,yanatoa Aluminium na rangi.Aluminium is a neurotoxin!
 
Watoto wa kitanga wako vzuri bed

Msheija siyo bed tu bali wako vizuri almost idara zote nyeti Kama vile ktk kuwa na kauli njema , wana adabu, wanajua kumstahi mume, Kwenye mapishi halikadhalika wanajua kupika vizuri sana !
Sasa mwanaume hapo atake nini tena?!
Mwanamke akikuheshimu, akikupikia vizuri na kule kitandani ukapata utulivu wa kutosha utake nini tena?!
Otherthings should remain the same e.g maswala ya maendeleo ya familia n.k
 
Mleta uzi wewe ndo umezubaa ulitaka huyo dereva toyo aendeshe tu hata kama taa hazijamruhusu?
 
Back
Top Bottom