Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

Iko hivi Hakuna mji tanzania hii uliopangiliwa vizuri kabisa Town center kama Tanga,Kuanzia Ofisi Za DC na RC njoo barabara za number mpaka Raskazone uko planned poa kweli, Cha Pili Tanga ilipewa hadhi ya jiji kwa vile ilikuwa ya pili ikitoka dar basi ilifata Tanga, Palikuwa na Viwanda kem kem hapo Tanga Ndugu bila kusahau Bandari ya kwanz kwa ukubwa ilikuwa hapo, Kabla ya Dar haijaongezewa kina, Tanga ina neema na kila Tunda linapatikana Pale, Upepo mwanana wa bahari bila kusahau Watoto wazuri, Kuna shida ya kiuongozi ndio imeirudisha nyuma tanga bila kusahau uvivu wa wenyeji na Udini sana but Kiukweli Tanga iko well geographically
Hiz ulizotaja ndio sifa za kuwa jiji? haya majiji ya bongo yapo so overrated eg Tanga na Mbeya ukitoa uwingi wa watu na ukubwa wa eneo hakuna kitu
 
Tanga jamani tanga,nyumba shoga,nyumba mganga..!!msuli mkubwa,ni ya mti anakunjwa tangawizi,wavivu kweli hawa watu.rkn wakifika njini vibaka hatari...!!wanawatia watu dimu kweli hawa wabeba mizigo...
 
Tanga
32841794_378923295948413_121614451412566016_n.jpeg
32967519_2191058491116767_2799909710206074880_n.jpeg
33108591_165396440979024_6095739223699095552_n.jpeg
32930681_183071102319149_1601069589251227648_n.jpeg
173.jpeg
203.jpeg
192.jpeg
 
Hiz ulizotaja ndio sifa za kuwa jiji? haya majiji ya bongo yapo so overrated eg Tanga na Mbeya ukitoa uwingi wa watu na ukubwa wa eneo hakuna kitu
Jiji la Tanga kimapato liko juu Sana mwaka huu wamekusanya bilioni 10.84 wakati manispaa kama morogoro wao wamekusanya 5.4 bil, iringa wamekusanya 4.2bil,
 
Niliruka nyoka sana pale na mtoto mmoja mkali sana wa Kiganda.

Nilikwenda kula bata Kampala. Na yeye akanifungia safari mpaka Dar.

Nikala bata Dar mpaka manyoya nikatengeneza kandambili.

Nikawa nafanya naye utalii wa ndani mpaka Tanga.

Tukaboogie sana La Casa.

Miaka hiyoo ya ujana.
 
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.

Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu wamezubaa sana.

Utashangaa ukipanda boda boda ikifika kwenye mataa hata kama yuko peke yake anasubiri taa ya kijani. Yaani hawajali muda.

Nyumba za udongo mpaka kati kati ya mji, vighorofa vya kuhesabu.

Ila nasikia huu ni kati ya miji iliyokuwa maarufu hapo zamani.
6a50c16763ce2d5a7a929366cf1443e1.jpg
toka utoswe na kidawa mkuu umekua unautemea matapishi mkoa wetu

Pole sana kwa ubaya wa mkoa wetu ila nikukumbushie tu kwamba haihitaji elimu ya veta kujua kwamba vigezo vya kuuita mkoa jiji sio kua na bodaboda wengi wanaojipenyeza tazara hata kabla ya mataa kuruhusu

#mafuta ya baby care na vestiline

#Poda zote za watoto hara uliyopakwa wewe

#Viwanda vikubwa vya sementi ambayo kwa kiasu kikubwa ndiyo ilitumika kuijenga nchi hii

#Maziwa maarufu ya tanga freshi

#viwanda vya sabuni

#viwanda vya madawa na plastic(TPPCL)

#Viwanda vya gypsum

#Kiwanda cha tambi za kula

#viwanda vya nguo

#viwanda vya mkonge

#viwanda vya vinywaji baridi

#viwanda vya kuzalisha vyakula

# madini maarufu ya ujenzi (tanga stone)

#uzalishaji wa wabkiasi kikubwa mboga mboga na matunda

#uwepo wa bandari yenye kina cha kutosha

#miradi mikibwa kama bomba la mafuta kutoka uganda n.k

Hayo ni baadhi tu ya masuala yanayoipa ujiji mkoa wangu wa tanga na si kuwahi mataa kwa bodaboda wala nyumba mbovu ambazo hara mbagala na tandale zipo
 
Hongea Zumbe, hao watu wana kinaa sana na Mkoa wetu
 
Jiji la Tanga kimapato liko juu Sana mwaka huu wamekusanya bilioni 10.84 wakati manispaa kama morogoro wao wamekusanya 5.4 bil, iringa wamekusanya 4.2bil,
Ok hayo makusanyo mbona haya modernize jiji mfu?Dodoma imekuja nyuma ila nahakika miaka kumi ijayo itakuwa jiji la pili kwa uzuri
 
Town center ya Tanga ni bora kuliko mkoa wowote hapa nchini iko kama ile miji ya Europe. Huko msambweni na makorora achana nako.Angalia ofisi ya Rc na mitaa jirani kama raskazone na jirani na hapo ilivyopangwa kwa ufundi mkubwa
Acha uongoo mkuu
 
Kuna miji hapa tanzania inasifiwa Sana mfano iringa hakuna hata hoteli yenye hadhi, mapato ya mji hata uyazidishe kwa mbili hayafikii mapato ya jiji la tanga
 
Back
Top Bottom