Mzee hapo umeteleza kidogo, Mbeya, Tanga na Arusha yalitangazwa kuwa ni majiji kwa wakati mmoja mwaka 2005. Lakini Arusha ikaonekana imepandishwa hadhi kimakosa hivyo ikanyang'anywa hadhi jiji mwaka huo huo, mwaka 2012 ndio ikapandishwa tena hadhi na kuwa jiji. Dar, Mwanza, Mbeya, Tanga na Arusha kwa mfuatano huo ndio zilipandishwa hadhi kuwa majiji.Sky Eclat, Tanga Na Mbeya Zilitangazwa Majiji Kwa Siku Moja, Jiji La Pili Ni Mwanza, Kisha Ikatangazwa Arusha Na Baadae Mbeya Na Tanga
Daah!!! we jamaa wengine bado tunatumia computer za chogo, tunageuzaje sasa kuona ulichopost.
....We jamaa utakua na bifu na wahaKuna miji ukisikia sifa zake kabla ya kufika!
Fika sasa ndo utachoooka.
Ndo nimeingia Kigoma. Nimeshangaaa sifazote kumbe porini kuanzia airport mpaka ka town kenyewe.
Mara oo sanaki ule migebuka. Nimekula ni kama kibua kabisaaa.
Sifa zingine waachie wahusika.
.....Ivi mkuu bado unapiga 'ngoma'?Tayari zipo mkuu, wameweka hapo RAILWAY (eneo linalo onekana kwenye picha) na mitaa ya TOYOTA
Na hasa ukiishi Dar baada ya kuhamia toka Makongolosi ndio basi tena.Ukiishi dar kila mkoa utakapokwenda utawaona wenyeji ni washamba. Hebu nenda zenji mdau tanga inasubiri yani.
[emoji48]Ulipewa hadhi ya jiji kwa sababu Tanga ukisomewa dua na masheikh lazima ufanikiwe. Na ukisonewa Ahalal Badr lazima ikupate!
Tanga hakuna traffic rights? una uhakika na hoja yako?Wewe muongo Tanga hakuna traffic lights. Nasikia ndio wana mpango wa kuziweka. Jiji ni pamoja na wingi wa watu. Na ndio sababu pekee ya msingi ya Dar kuitwa jiji.
Mkuu hizo hadithi za zamani kipindi hicho wenyeji ni wengi mno sasa hivi hakuna hizo mambo hawana jipya hawa watoto wa kitangamkuu tafuta mwenyeji akutafutie mtoto wa kitanga alafu uje kuanzisha uzi hapa
Hapa watu wanajadili Tanga city sio Tanga huko home kwenu Kigongoi.Japokuwa tanga Ndio home,kama kuna kipengele cha kutengua Jiji naomba kianzie Tanga, haikustahili kuwa Jiji kabisa