Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
bila shaka yoyoteVitambulisho vya kura wanavyo??...
Hawa walikuwa wanaccm na wengine CufKama kadi ya chama hawana vp kadi zakupigia kura mkuu
jikite kwenye madaHizo ndio watatumia kupiga kura?
Wewe zinakuhusu nini? Zungumzia yako haya ya chadema tuachie sisi.Hizo ndio watatumia kupiga kura?
View attachment 1511283
Hii ni baada ya harakati za Bavicha za kuelimisha umma kufanikiwa , hasa baada ya somo la uraia na haki zao kuwakolea wananchi .
Natoa wito kwa Chadema Makao Makuu kuongeza uchapishaji wa kadi ili kukidhi kiu ya watanzania .
Mungu ibariki Chadema
[/QUOTE
Mmmh Tanga?!!! Aya bnaa
Chadema sambazeni kadi nchi nzima wananchi wanazihitaji kwa wingi.View attachment 1511283
Hii ni baada ya harakati za Bavicha za kuelimisha umma kufanikiwa , hasa baada ya somo la uraia na haki zao kuwakolea wananchi .
Natoa wito kwa Chadema Makao Makuu kuongeza uchapishaji wa kadi ili kukidhi kiu ya watanzania .
Mungu ibariki Chadema
Hawa vijana waambieni, kazi yao ya kwanza ni kupiga kura. Haina maana yoyote kuwa na kadi halafu usipige kura.View attachment 1511283
Hii ni baada ya harakati za Bavicha za kuelimisha umma kufanikiwa , hasa baada ya somo la uraia na haki zao kuwakolea wananchi .
Natoa wito kwa Chadema Makao Makuu kuongeza uchapishaji wa kadi ili kukidhi kiu ya watanzania .
Mungu ibariki Chadema
Iambatane na elimu ya upigaji kuraChadema sambazeni kadi nchi nzima wananchi wanazihitaji kwa wingi.
Nimezihesabu hizo kadi zipo 12. Halafu unasema zimegombewa kama njugu.View attachment 1511283