Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Watakamatwa kwa kuandamana bila kibaliView attachment 1511283
Hii ni baada ya harakati za Bavicha za kuelimisha umma kufanikiwa , hasa baada ya somo la uraia na haki zao kuwakolea wananchi .
Natoa wito kwa Chadema Makao Makuu kuongeza uchapishaji wa kadi ili kukidhi kiu ya watanzania .
Mungu ibariki Chadema