Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
State of demand and appropriate task,Hiki kiingilio hapana aisee, kwa maisha yetu sidhani kama ni kiingilio sahihi.
Huwa nawashangaa sana mnaolinganishaga maisha ya Ulaya na Africa. Nawaona kama mapunguani sanaa. Nyie ni watu ambao hamkubali na wala hamuamini kuwa kuna ndugu zetu hata hapo ulipo wanakufa kwa kushindwa kununua panadol ya miambiliTuweke mkazo kwenye utafutaji wa hela elfu 20 ni dola 8 tu wenzetu kiingilio cha mechi ndogo kabisa Dola 25
Sijui point zako nyingine, ila toka dunia inaumbwa hakuna mtu aliewahi kufa kisa kakosa Panaldo, acha kutudhalilisha wa AfricaHuwa nawashangaa sana mnaolinganishaga maisha ya Ulaya na Africa. Nawaona kama mapunguani sanaa. Nyie ni watu ambao hamkubali na wala hamuamini kuwa kuna ndugu zetu hata hapo ulipo wanakufa kwa kushindwa kununua panadol ya miambili
Wazee wa aftatuSimba bhana izo mechi mbili wazee [emoji28]
Tafuta hela kaka, elfu 20 sio hela nyingi.Kwann tunalazimishana kuangalia timu mbili kwa elfu 20 ? Wengine tunataka kuangalia mechi ya mnyama tu.
Muongo mkubwa wewe, lini mtanzania au mwafrika alikufa kisa kukosa panadol? Acha kutunga uongo.Huwa nawashangaa sana mnaolinganishaga maisha ya Ulaya na Africa. Nawaona kama mapunguani sanaa. Nyie ni watu ambao hamkubali na wala hamuamini kuwa kuna ndugu zetu hata hapo ulipo wanakufa kwa kushindwa kununua panadol ya miambili
Generation ZSijui point zako nyingine, ila toka dunia inaumbwa hakuna mtu aliewahi kufa kisa kakosa Panaldo, acha kutudhalilisha wa Africa
Generation ZMuongo mkubwa wewe, lini mtanzania au mwafrika alikufa kisa kukosa panadol? Acha kutunga uongo.
Umempa alichostahiliSio bidhaa ya lazima kusema wakikosa watakufa...... Acha wenye uwezo waingie