Tanga kiingilio elfu 20! Hawa TFF wako sawa sawa kweli?

Mashabiki wa Simba ni shida.starehe gharama nenda vibanda umiza jero tosha.Azam afanye hayo kwa watu wa Tanga tu.akili matope
 
Tuweke mkazo kwenye utafutaji wa hela elfu 20 ni dola 8 tu wenzetu kiingilio cha mechi ndogo kabisa Dola 25
Huwa nawashangaa sana mnaolinganishaga maisha ya Ulaya na Africa. Nawaona kama mapunguani sanaa. Nyie ni watu ambao hamkubali na wala hamuamini kuwa kuna ndugu zetu hata hapo ulipo wanakufa kwa kushindwa kununua panadol ya miambili
 
Tena hiko ni kiasi kidogo sana. Walau wangefikiria afu 50 [emoji23][emoji23].

Watu bendi tu mnalipa laki, afu50, kariakoo mtanange mnataka utelezi.

Ndugu yangu Karia, kwa kuzingatia mapato yanaenda kwa ajili ya shughuli za kijamii, nakuomba kiingilio kiwe Tshs. 50,000 kwa 100,000.
 
Huwa nawashangaa sana mnaolinganishaga maisha ya Ulaya na Africa. Nawaona kama mapunguani sanaa. Nyie ni watu ambao hamkubali na wala hamuamini kuwa kuna ndugu zetu hata hapo ulipo wanakufa kwa kushindwa kununua panadol ya miambili
Sijui point zako nyingine, ila toka dunia inaumbwa hakuna mtu aliewahi kufa kisa kakosa Panaldo, acha kutudhalilisha wa Africa
 
Huwa nawashangaa sana mnaolinganishaga maisha ya Ulaya na Africa. Nawaona kama mapunguani sanaa. Nyie ni watu ambao hamkubali na wala hamuamini kuwa kuna ndugu zetu hata hapo ulipo wanakufa kwa kushindwa kununua panadol ya miambili
Muongo mkubwa wewe, lini mtanzania au mwafrika alikufa kisa kukosa panadol? Acha kutunga uongo.
 
Back
Top Bottom