Tanga kiingilio elfu 20! Hawa TFF wako sawa sawa kweli?

Huwa nawashangaa sana mnaolinganishaga maisha ya Ulaya na Africa. Nawaona kama mapunguani sanaa. Nyie ni watu ambao hamkubali na wala hamuamini kuwa kuna ndugu zetu hata hapo ulipo wanakufa kwa kushindwa kununua panadol ya miambili
Kwani asipoenda uwanjani mapigo ya moyo yatasimama! Wenye uwezo wataenda, tusioweza tutaangalia kupitia runinga
 
Mtu analalamika kiingilio elfu 20 tena big match kama ya simba na yanga Tanzania.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna watu hawako serious.
Kwahiyo Tanga kuna vilaza, watu hawana elfu 20.
Acha dharau mwandishi wa thread
Na usishangae watu wengine tukakosa tiketi
 
Acha kujidanganya eti watakosa watu ,hii ni derby na uwanja ni mdogo na kwakiingilio hiki ni sahihi ,pia watazamaji wanatoka maeneo mengi sio Tanga pekee uwanja lazima ujae
 
Sijakuelewa mkuu kiingilio kina watarget vp watu wa dar
 
Siku ya wananchi ilikuwa 10,000 halafu Simba day 5,000. Unataka ipi: Simba, Wananchi au TFF?
 
Wee kalisha tako huna uchumi imara kusafiri na kuifata timu popote na hat hvyo waweke elf 30 kbsa

Mtu unatoka mawnza unauza mtumba alfu. Unaifata yanga na Simba Kweli tff wekeni elf 30 shenzo wahed
 
Tuache unafki mechi zilizopita magap yameonekana na KIINGILIO kulikuwa elfu 10 ! Je hii ya 20k watu watajaaaa
 
TFF wanatafuta maokoto bila kwanza kuwekeza. Wachezaji wanakaa kwenye mahema pale Mkwakwani maana hakuna vyumba vya kubadilishia. Pua kabisa.
 
Toja lini TFF wakajaki mashabiki. Lengo la kufanya ngao ya jamii kuwa ligi ni kukusanya fedha nyingi iwezekanavyo ili wapige kirahisi. It has nothing to do with football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…